Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They are better than Tanzania in everything available except food security. Ebu nitajie tu kitu moja Tanzania inashindia Ethiopia ama Nigeria.
Tuna railway network ndefu kuliko nchi zote hizo ulizotaja combined kama hujatosheka niambie nikuwekee vingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenya
Ethiopia
Nigeria

All those countries mentioned above are better than Tanzania in everything except witchcraft and poverty which you have tied with Nigeria.
Sasa mbona unajibu kwa hasira [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani ni uongo?🤣🤣
Kumbuka siku za Moi Kenya ilisemekana kuwa top 3 most peaceful in Africa na hata hiyo ndio ilikuwa selling point yake. Wakati ametoka tunaambiwa we are nowhere among the topyet kwa ground it's the opposite.
i truely concur.. at the ground it is totaly the opposite.
despite the negative comments we may sometimes get from some foreign media..
The UN still classify kenya as 'politicaly stable' and peaceful..
hence thts the reazon why we've been able to whore investors from the most respected companies in the world in the recent few months, even immediately prior to our hot🔥 political season....
the likes of Google, Microsoft or Meta(Facebook) for instance, who opted to open its african Hqs in nbi, even ahead of SA🤔
 
Walingoja kuona watu wakiuana[emoji23][emoji23], please remind your able watchman The best 007 to keep on having hope juu tunaezapigana last week. Na tukikosa kupigana na kuaana last week anaezangoja last month. Maybe that day the witches may answer his prayers.
The Tanzanian witches and wizards in this forum have been put to shame led by their choir master Geza Ulole , joto la jiwe The best 007 and any other a hole i forgot about [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lini umeona Tz ikipokea msaada wa chakula au lini umeona Watz wakiuwana wenyewe kwa wenyewe tuanzie hapo kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani wenye waliuliwa kule Zanzibar 2020 election hawakuwa watanzania? Soja mbona unajiaibisha?
 
Kwani wenye waliuliwa kule Zanzibar 2020 election hawakuwa watanzania? Soja mbona unajiaibisha?
Kumbe waliuliwa ila hawakuuwana, ndiyo maana nikakupa cheo cha kutokuwa na ubongo lkn una survive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuna railway network ndefu kuliko nchi zote hizo ulizotaja combined kama hujatosheka niambie nikuwekee vingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hao hawana railway? Again railway falls under infrastructure and all those countries have infrastructure better than Tanzania by far


IMG_20210712_220639.jpg
 
Yani walingoja wakenya wapigane as if hao ndio watakuwa referee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mtapigana vp wakati this time Tz ndio imesimamia uchaguzi wenu, yn uchaguzi wenu ulikuwa mikononi mwetu ndiyo maana ukaona angalau kdg.
 
Kumbe waliuliwa ila hawakuuwana, ndiyo maana nikakupa cheo cha kutokuwa na ubongo lkn una survive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waliuliwa na watanzania wenzao. So in short waliuana.
 
Sasa mtapigana vp wakati this time Tz ndio imesimamia uchaguzi wenu, yn uchaguzi wenu ulikuwa mikononi mwetu ndiyo maana ukaona angalau kdg.
The role of Tanzania in Kenyan election was like a mosquito pushing a lorry.
 
Sio Bukoba! Sehemu ambayo haina activities na Wakulungwa hata chuo cha maana wameshindwa kujenga!
Siyo wao wameshindwa serikali haipendi kujenga vyuo huko. Kwanini chuo kikuu cha Biharamulo ambacho alikuwa ajenge Askofu Niwemugizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Rulenge kimeshindikana kujengwa mpaka sasa hivi?

Kwanini Bugando ilipelekwa Mwanza na siyo Bukoba kama ilivyokuwa maono ya mwanzilishi?

Kwanini RUGAMBWA shule ya wasichana ya sekondari ililazimishwa iwe sekondari na siyo chuo kikuu kama ilivyokuwa imepangwa.

Chuo kikuu cha Mabila Kyerwa kwanini kimefungwa?

Tawi la Chuo kikuu cha St.Augustine Kwanini kilizuiliwa kudahili wanafunzi wa Shahada?

Bukoba University nini mbaya ilipelekea kifo chake.

Nambie ni mkoa upi wa Tanzania ambao wananchi wamejenga vyuo kwa pesa zao wenyewe bila support ya serikali?

Bonde la mto ngono kuanzia uhuru hadi leo lipo kwenye mpango mkakati wa kufanya kilimo cha umwagiliaji,sasa shida ni nini kilimo cha mpunga kisianze.

Uwanja wa ndege wa Omukajunguti ulifia wapi?

Tujadili bila ushabiki nchi yetu sote hii.
 
Wahaya wako na pesa we jamaa, they can afford.. usiwachukulie poa kabisa, I've been living at Kiakarabwa for two good months and i also witnessed different kinda dvp that was going on..
Kuna watu wana agenda yao kuwadiss Wahaya ,huyu anasema si ajabu hajawahi kufika sehehmu yoyote ile ya mkoa wa Kagera.
 
their is no cause for alarm here.. when u see such kinds of rankings tht places tanganyika at top5 and ahead of kenya, just know it was compiled by a tanzanian.
(hivi hakuna sekta ama takwimu tanganyika inaweza ipiku kenya)
main target is to hit on kenya, ndo tu feel🤔
hawa watu wana jisumbua sana na sisi.. ata ndo maana wana tu gugo zaidi🤣

Screenshot_20220906-114800_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom