Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
Wako slow kweli huku kwetu wakati kwao wanafanya miradi kwa kasi sana,au tunawacheleweshea malipo hayalipwi on time?wachina wanampita mturuki kwa vituo aiseh..ingawa wako slow
Haiwezi kufa bana itapata wateja wengi tu,kuna watu wengi wanahitaji nyumba huko. Kama wanaweza kujenga nyumba zao wenyewe nzuri na za kisasa watashindwa nini kumudu gharama za kupanga kwenye nyumba za NHC.NHC inaenda kufa!
Sio Bukoba! Sehemu ambayo haina activities na Wakulungwa hata chuo cha maana wameshindwa kujenga!Haiwezi kufa bana itapata wateja wengi tu,kuna watu wengi wanahitaji nyumba huko. Kama wanaweza kujenga nyumba zao wenyewe nzuri na za kisasa watashindwa nini kumudu gharama za kupanga kwenye nyumba za NHC.
Raila didn't steal stop lying, mulpractice happened both ends, in Kiambu it was Kenya Kwanza diehards who stole 10k votes from Raila to Ruto and it was discovered and corrected if u followed tallying there, I don't think Ruto stole neither did he endose it, just fans, u are merely being biased, can u substantiate your claims? am looking at this thing objectively, how things played out, separating facts from hearsays. Issue ya deep state not being used I heard from inside sources within Azimio before this election, Raila wanted to maintain his integrity, guys close deemed him as a fool, but it was alright for him to take that path. Do u know deep state wewe? or have u ever heard how Mt. Kenya mafia operates? The only thing Raila got was financial support, but deep state doing things underground nope, he didn't endorse., this election was free and fair, don't give Ruto undue credit.my dear bro Don YF, i don't agree with u here.. coz this tyme round raila did anythng for the sake of tht win, even stealing where it possible..!
deepstate was very much active and involved here. ni vile tu ruto was more smarter..
nb:
so do you want to say tht, on ground, raila won?🤔
Hawa wote na hizi nguo za choir wako kwa mfuko ya CCM. Tanzania had no independent judiciary.
Kama siyo jpm bei ya umeme kwa unit moja ingekuwa sh1300 amini usi aminiYule Bwana ndie mwanzilishi wa Tozo, sema yeye alianzisha kwenye mafuta (TARURA) kila lita ya mafuta kuna fungu la ujenzi wa barabara.
SSH aliongeza kwenye mihamala ya simu, bank na kuboresha ya mafuta. Baada ya kuona TARURA ina mafanikio akaongeza maji vijijini (RUWASA) , elimu na Afya.
Wahaya wako na pesa we jamaa, they can afford.. usiwachukulie poa kabisa, I've been living at Kiakarabwa for two good months and i also witnessed different kinda dvp that was going on..Sio Bukoba! Sehemu ambayo haina activities na Wakulungwa hata chuo cha maana wameshindwa kujenga!
Bomu linaweza kulipuka muda wowote kwa sasa kenya imegawanyika na kunauchungu mioyoni mwa nusu ya wakenya hiyo ni kama petrol inasubiri cheche tuWalingoja kuona watu wakiuana, please remind your able watchman The best 007 to keep on having hope juu tunaezapigana last week. Na tukikosa kupigana na kuaana last week anaezangoja last month. Maybe that day the witches may answer his prayers.
NHC ina majengo Sumbawanga na yote yako occupied sembuse Bukoba?NHC inaenda kufa!
next destination Njombe, nimeota tena leo mchanaBRT Mikoani,itaanza Pwani na Dodoma 👇
Ombea maumivu yasije kutokana na uongozi kuwa mbaya maumivu ya hivyo yakija ni cheche kwenye petrol. Omba Ruto awe kiongozi mzuri vingi nevyo bomu litaripuka tuUtangoja sana for that bomb to explode. I voted for Raila and we accepted the defeat and now we are ready to start a new journey with Ruto. When Uhuru was elected, who thought he could perform the way he performed? For me Uhuru is the best President Kenya have ever had when it comes to infrastructure. Ruto may take us the Kibaki way which is still perfect.