Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Na ndio uheshimu sasa lugha ambayo wewe ulilipa ada kujifunza na bado huijui while kuna watu hata kabla ya kuanza kindergarten tayari tunachapa kiswahili fluently.. wewe ulienda kumeza ili ujaze mtihani ufaulu yet mpaka leo hujui kitu 🤣🤣 Ndio nini sasa.?Tofauti ya tuusan and any other Tanzanian na wakenya is that Tanzanians grew up speaking in Swahili as the sole language available to them, for me us our first language was neither Swahili nor English. Those two languages tumepatana nazo in class and we concentrated on the part will enable us pass in our exam. For your information, you can be fluent in speaking a certain language but when you get into class you zero.
Kiswahili tunachosoma Bongo ni tofauti kabisa na kiswahili mnachofundishwa huko mashuleni kwenu. Kwenu mnafundushwa jinsi ya kuongea kiswahili while bongo tunasoma history na science ya lugha ..