Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fb4RY2vWAAIEnpP
 
Potential areas kama Manzese,tandale ama mwananyamala...wangefanya upgrades sababu ni maeneo yapo karibu na mjini...wangebomoa nyumba wapange upya mji...hata nyumba zao zingeuzika kiurahisi ...wakibomoa squatre taratibu mji unapangika...Na kingine wasisahu kuondoa huu utaratibu wa frames kwa kujenga shopping centres...masoko ya kisasa nk...itakua rahisi kuwabana traders kulipa kodi na kutumia machine za efd
Kabla wafike manzese me naona warekebishe kwanza Kinondoni zote na magomeni, kuanzia magomeni sunna, kanisani, magomeni mikumi, magomeni mapipa, magomeni kota, mwmbechai mpaka kagera, kote huku kunahitaji renovation Moja ya kibabe sana, mpaka kule upande wa kigogo .
 
Potential areas kama Manzese,tandale ama mwananyamala...wangefanya upgrades sababu ni maeneo yapo karibu na mjini...wangebomoa nyumba wapange upya mji...hata nyumba zao zingeuzika kiurahisi ...wakibomoa squatre taratibu mji unapangika...Na kingine wasisahu kuondoa huu utaratibu wa frames kwa kujenga shopping centres...masoko ya kisasa nk...itakua rahisi kuwabana traders kulipa kodi na kutumia machine za efd
Sahihi kabisa. Wanawahamisha watu kwa muda halafu wanawarudisha. Mfano ghorofa kadhaa wanawaachia wazawa halafu zinazobaki wanazipangisha au kuziuza. Very Simple.
 
I told you Raila was going to be the 5th President of kenya.....🔥! Wengine mkanipinga.. ona sasa

Congrats Raila and Martha Karua🙉👏🏽

mtoto kenya👇🏽
FSXRAwWWUAAl4qN.jpg

FZdWjWCWQAAGPNd.jpg
FSX-TsXXoAAiwbL.jpeg
280747726_3163192893949861_287097171092022970_n.jpg
111-1115483_drake-musician-song-drake-face-png-transparent-png.png
47-470847_drake-face-png-transparent-png.png

Atwoli suffers a heartattack👇🏽
Screenshot_20220816-213839_Gallery.jpg
Screenshot_20220815-142338_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom