Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Naona nhc wamesikia mawazo yetu, wamekuja na SHS yaani Samia Housing Scheme wanajenga majengo yenye ghorofa 10-12 kwa ajili ya watu kuishi, kuna mpaka nyumba za 50mTshs, hili likifanyika ni jambo zuri sana mimi naona hivyo