Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Soma tena maelezo yangu au kiswahili ndio hujui.? 🤣So your CBD only have 8 buildings of 20 floors and above? No wonder Dar is still in the level of Kampala 😂😂
Soma tena maelezo yangu au kiswahili ndio hujui.? 🤣So your CBD only have 8 buildings of 20 floors and above? No wonder Dar is still in the level of Kampala 😂😂
Sasa hii ni takataka gani. Nakuru Hospital.Kenyans mpate at least this levelView attachment 2345871.. oya dopchinski. Unaona vile facities zinakaa..? Hii sasa sio mbele, ni hapahapa mjini Bongo Don
i think Gynecologist wako wengi piaSafi sana , now we need a clear move to bridge the gap in Human Resource,
More health care professionals to be recruited, plus capacity building to the existing ones,
Kuna upungufu mkubwa sana wa Specialists, inatakiwa juhudi za makusudi kuongeza idadi ya madaktari bingwa hasa kwemye maeneo ya Dermatology, Nephrology, Gynecology, Neurology, Cardiovascular, pamoja na Internal Medicine.
Kwa sehemu walau tumejaribu kwenye eneo la Pediatrics na Orthopedic.
You can have a CBD the size of Jupiter lakini it's made up of shacks, that's how Dar is.Soma tena maelezo yangu au kiswahili ndio hujui.? 🤣
Hili ni soko ama ni hospital.?
Gynaecologist wako wengi wapi?bado per patient ratio iko chini mno...Sa hospitali ya mkoa kama morogoro Gynaecologist mmoja unaona ni sawa?mkoa mzima wa morogoro Gynaecologist hawazidi 5i think Gynecologist wako wengi pia
we are missing ..Neurologist, Neurosurgeons, Anathesiologist, Dermatologists , na Pathologists
Kiswahili ulikua unapata ngapi darasani.? 🤣🤣You can have a CBD the size of Jupiter lakini it's made up of shacks, that's how Dar is.
Mbeya alone inaipiga ka Nairobi kwa high quality hospitals nje ndani, forget about Dar.
Na bado hujui kiswahili, nenda kaombe urudishiwe ada yako.. 🤣🤣
Oya mzee baba kwenu Mbeya nini.? Mana unaijua kinoma 🤣Hizi zipo mbeya mjini pekee, (google the pictures fyi)
Sijagusa za Kyela, Tukuyu, wala Vwawa.
1. Mbeya Zonal Referral Hospital
2.Mbeya Régional Referral Hospital
3. Ifisi Hospital (Mbalizi)
4. Uyole Hospital
5. Maranatha Hospital (hawa wanajenga nyingine maeneo ya Sido, hii ni funga kazi ***** )
6. Uyole Hospital ,
7. K’s Hospital
8. UWATA Hospital (hii ni noma sana, you can google)
9. Meta Hospital - Maternity Extension ya Mbeya Referal hospital
10. Aga Khan Mbeya.
Top 10 hizo, Kwa mbeya City.
i think Gynecologist wako wengi pia
we are missing ..Neurologist, Neurosurgeons, Anathesiologist, Dermatologists , na Pathologists
I preferred Biology and Chemistry more than Physics, so I went with the two and left Physics. Geography sikufanya because of the teacher who was teaching it. I hated him.Hujasoma Physics, Geography unaexcuse gani..?
Umepata A ya kiswahili lakini hukijui, A yako ya kiswahili inakusaidia nini so far.?Thanks
Oya mzee baba kwenu Mbeya nini.? Mana unaijua kinoma![]()



Kiswahili can't help me anywhere in my lifetime, in fact I sat for Swahili exams just because it's a compulsory subject. Ingekuwa optional ningeiacha. Wewe Kiswahili inakusaidia na Nini tofauti na communication?Umepata A ya kiswahili lakini hukijui, A yako ya kiswahili inakusaidia nini so far.?
Okey,ni sawaI preferred Biology and Chemistry more than Physics, so I went with the two and left Physics. Geography sikufanya because of the teacher who was teaching it. I hated him.
My passion was in Microbio and not medicine.but mi naona unge fanya tu MBChB mara moja instead of Bio Tech. si mi naona hapa una meet CoP cluster of 46points!🔥
Uko kenya unasoma medicine bila Physics?but mi naona unge fanya tu MBChB mara moja instead of Bio Tech. si mi naona hapa una meet CoP cluster of 46points!![]()
Wacha ujinga . Unauliza kiswahili kinanisaidia nini, mimi mtanzania kweli.? Ar you crazy or something.? Maswali hayo ulizaneni na wakenya wenzako..Kiswahili can't help anywhere in my lifetime, in fact I sat for Swahili exams just because it's a compulsory subject. Ingekuwa optional ningeiacha. Wewe Kiswahili inakusaidia na Nini tofauti na communication?