Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msiwaze ndugu zangu hela zoote hizo huwa zinzrudi tu TANZANIA kwa njia ya kununua vyakula kwa hio wakenya ni manamba wa tanzania

You spend your entire day on Twitter searching for Kenya
Na google trends ikisema Tanzanians think about Kenya all the time mnapinga.
 
Fbd2aLRVQAAVd70.jpg

FXDhfALX0AAJtA9.jpg
 
All these Mercedes S Class damages only because of milioni 46 za madafu 😑🙃

 
Hakuna anayepinga tozo zisiwepo lakini hizi tozo zinamsaidia nani, pesa inayopelekwa kwenye miradi inatumika ipasavyo? Kabla ya tozo yule aliyetangulia mbona alifanya mambo makubwa yakaonekana bila hizi tozo?

Kama tutatozwa kwa ajili kuleta maendeleo na kukawepo unafuu wa maisha, bidhaa zikashuka, miradi ya maendeleo ikafanyika kwa ufanisi basi litakuwa jambo jema na hakuna atakayelalamika.

Kibanda cha mln 13,daraja la milion 353,watu wanaitwa na CAG hawataki kukaguliwa halafu tuseme tozo imefanya kazi kweli?
Yule Bwana ndie mwanzilishi wa Tozo, sema yeye alianzisha kwenye mafuta (TARURA) kila lita ya mafuta kuna fungu la ujenzi wa barabara.

SSH aliongeza kwenye mihamala ya simu, bank na kuboresha ya mafuta. Baada ya kuona TARURA ina mafanikio akaongeza maji vijijini (RUWASA) , elimu na Afya.
 
Kwani hapo awali madarasa na vituo vya afya viliikuwa havijengeki?
Kulikuwa na miradi ya Millenium Challenge Development Goals kwa hisani ya watu wa Marekani ili fund miradi mingi ya maendeleo kwa matrillion, sema uchaguzi wa Zanzibar wa 2015 zile figisu alizofanyiwa Maaalim Mmarekani akajitoa....

Ndio tukaja na kauli mbiu Mabeberu wasituingilie kwenye mambo yetu ya ndani na nchi yetu ni tajiri tunaweza kuishi bila kuwategemea.

Kilichofuata
Serikali haikuajiri kwa miaka sita
Hakuna nyongeza ya mishahara kwa miaka 6
Bado report za CAG hazikuwa na uwazi/ ukweli (editing)
Na bado deni la nchi lilipaa kwa speed ya 5G
 
Tunabadili jina la timu yetu, kuwa Azam Sugar FC au tutaanzisha timu mpya Azam Sugar FC
Haitawezekana.. azam is already an established big brand.. na hakuna azam sugar lbd bagamoyo sugar fc... on other hand, jina la sponsor wao labda ndo wataweka bagamoyo sugar
 
Hapa Mo akiiga, tutakuwa tumemaliza tatizo la sukar ndan ya nchi

Hili suala la sukari, naomba azam waanze kwa kuuza bei ya chini.. watapata wateja haraka.. na itawaforce wazalishaji na wauzaji wengine baadae kuuza sukar zao pia kwa bei ya chin
 
Haitawezekana.. azam is already an established big brand.. na hakuna azam sugar lbd bagamoyo sugar fc... on other hand, jina la sponsor wao labda ndo wataweka bagamoyo sugar
Hakuna kinachoshindikana mbona kuna Manchester mbili kwa ligi moja? Watatofautisha jersey tu Azam blue na Azam kijani
 
Back
Top Bottom