Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kinachoshindikana mbona kuna Manchester mbili kwa ligi moja? Watatofautisha jersey tu Azam blue na Azam kijani
Mbona hueleweki.. tunabadili jina la timu au unaanzisha timu nyingine?
 
Mbona hueleweki.. tunabadili jina la timu au unaanzisha timu nyingine?
Bakhresa ni group of companies SSB, kama umeingalia kama kampuni ndogo sawa, sioni au sishangai kiwanda kikiwa na timu yake na kikatumia jina la Azam Sugar.
 
Bakhresa ni group of companies SSB, kama umeingalia kama kampuni ndogo sawa, sioni au sishangai kiwanda kikiwa na timu yake na kikatumia jina la Azam Sugar.
Mbona unakuwa mgumu .. hakuna sukari inaitwa azam sugar.. lbd bagamoyo sugar fc.. soma ulichoandika mwanzo na nilichokujibu.. ukianzisha azam sugar fc utakuwa unabrandisha nn?
 
Mbona unakuwa mgumu .. hakuna sukari inaitwa azam sugar.. lbd bagamoyo sugar fc.. soma ulichoandika mwanzo na nilichokujibu.. ukianzisha azam sugar fc utakuwa unabrandisha nn?
Whatever, hiyo picha ya mfuko wa sukari jina Azam kama halihusiani na kiwanda sawa unaweza kuwa kweli, as long as brand ya kiwanda cha sukari inabeba Azam sio shida timu kuitwa Azam Sugar
 
IMG_6646.jpg

SGR
 
Whatever, hiyo picha ya mfuko wa sukari jina Azam kama halihusiani na kiwanda sawa unaweza kuwa kweli, as long as brand ya kiwanda cha sukari inabeba Azam sio shida timu kuitwa Azam Sugar
Jifunze maana ya branding
 
Basi sawa nimeelewa.. so sukari inaitwa Azam Sukari sio Bagamoyo Sugar? Yan ukienda dukan unasema naomba Azam Sukari au Sukari ya Azam?
Ndio hivyo Bagamoyo sugar ipo chini ya SSB group of companies na product yake ni Azam Sukari as per branding
 
Safi sana , now we need a clear move to bridge the gap in Human Resource,
More health care professionals to be recruited, plus capacity building to the existing ones,
Kuna upungufu mkubwa sana wa Specialists, inatakiwa juhudi za makusudi kuongeza idadi ya madaktari bingwa hasa kwemye maeneo ya Dermatology, Nephrology, Gynecology, Neurology, Cardiovascular, pamoja na Internal Medicine.
Kwa sehemu walau tumejaribu kwenye eneo la Pediatrics na Orthopedic.
 
Hakika, hii inasaidia sana kupunguza msongamano wa wagonjwa Muhimbili, wanaohitaji huduma za kibingwa.
Kabisa kaka,alafu Vijana wengi sana wamepata nafasi za masters za medicine mwaka huu..na wale wa masters za science...uko tuendako Medical specialists watapatikana kwa wingi level ya district hospitals...huduma za afya zitakua za kiwango sana hapo badae...Sio mbali tunafika
 
Back
Top Bottom