Niliwahi kusema hili, kwamba nyumba za chini hazitufai, kwa sababu watu binafsi hawawezi jenga basi nhc, tba watumishi housing nk ziwezeshwe ili sehemu kama tandale, vingunguti wachukue hayo maeneo wajenge maghorofa kwa style ya magomeni waliovunjiwa wanapewa apartments kadhaa zinazobaki wanauza au kupangisha.
Tutajikuta dar na pwani zimeungana ila kuna watu 10m hii ni matumizi mabaya ya ardhi.
Tukiendelea hivi vizazi vijavyo vitakuja kosa sehemu za kulima tuwe tunaagiza vyakula Toka nje.
Kuna nyumba zinajengwa Dom za low quality mimi huwa naona wagejenga maghorofa kama ya medeli, wamechukua eneo kubwa sehemu ambapo wangejenga maghorofa manne tu.
View attachment 2344161