Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu jamaa ni msomi mzuri tu, lakini nae ni mchumia tumbo, yupo hapo kutetea upumbavu.. kwani magufuli si aliongoza hii nchi mwaka mmoja tu uliopita na nchi haikua na tozo, yeye aliwezaje .? Na mbona kipindi hakukua na tozo tuliona miradi mipya ikianzishwa kila kukicha while kipindi hiki cha tozo hakuna miradi mipya ni maneno tu.? Hizo hela za tozo wanapeleka wapi.?
Wanaupiga mwingi
 
This is biggest water moves project on Earth. 👇. tuusan while US is struggling to build their firt HSR 👇. US ni joke kwa China Bro
 
This is biggest water moves project on Earth. [emoji116]. tuusan while US is struggling to build their firt HSR [emoji116]. US ni joke kwa China Bro
China inapambana kuwahudumia wananchi 1.4B ,US inapambana kuwahudumia watu 330M lakini bado huyu mwenye watu wachache ananguvu kiuchumi kuzidi yule mwenye watu wengi,uko hapa kuongea matope wewe
 
China inapambana kuwahudumia wananchi 1.4B ,US inapambana kuwahudumia watu 330M lakini bado huyu mwenye watu wachache ananguvu kiuchumi kuzidi yule mwenye watu wengi,uko hapa kuongea matope wewe
Sasa ni taifa Gani lenye nguvu linaloshindwa kutengeneza km chache za reli.? Sabubu za kitoto sitaki mimi.. US hana technology kushindana na china .. mfano mzuri huu hapa China walitengeneza daraja US baada ya kuvunjika na wataalamu wa US kushindwa kulitengeneza. golden gate bridge in San Francisco California 👇. Hii nayo utasema ni nini.?
 
Wapiga debe kazi wanayo round hii
Wakati huku tukitamba na teknolojia kumbe IEBC hawana data center wala nini walirent disc space online kutoka uholanzi mwenye server zake kasema hakuna kufunga server kukagua . Halafu wakunya walikua wanatamba wanateknolojia haaaaaa . Nyie jamaa punguzeni sifa za kijinga
 
Sasa ni taifa Gani lenye nguvu linaloshindwa kutengeneza km chache za reli.? Sabubu za kitoto sitaki mimi.. US hana technology kushindana na china .. mfano mzuri huu hapa China walitengeneza daraja US baada ya kuvunjika na wataalamu wa US kushindwa kulitengeneza. golden gate bridge in San Francisco California [emoji116]. Hii nayo utasema ni nini.?
Us haina technology tena..?[emoji2][emoji2][emoji2]
Hauna ata aibu aisee
 
Us haina technology tena..?[emoji2][emoji2][emoji2]
Hauna ata aibu aisee
Me nikifkiria utaleta facts kumbe unakuja na maneno. Battle huiwez wewe 🤣🤣🤣 we endelea kuamini US ni zaidi ya China.. upo nyuma ya muda Bro
 
Sasa ni taifa Gani lenye nguvu linaloshindwa kutengeneza km chache za reli.? Sabubu za kitoto sitaki mimi.. US hana technology kushindana na china .. mfano mzuri huu hapa China walitengeneza daraja US baada ya kuvunjika na wataalamu wa US kushindwa kulitengeneza. golden gate bridge in San Francisco California [emoji116]. Hii nayo utasema ni nini.?
We jamaa kumbe hata kimombo kinakuchenga sa hapo ni wap US wameshindwa kujenga hilo daraja? Jamaa wanastandards zao,engineers are paid higher in US so expect bid za contract ziwe higher to cover expenses ...Usiwe kama mgeni kijana US sio uchina hakuna kubinyana kwenye malipo,
Hapa Tz engineer mwenye njaa analipwa hadi laki 4.5 kwenye viwanda vya mchina...mchina ni bahili sana
 
🤣🤣🤣🤣 Tayari umeshaanza na Kuni judge na uwezo wangu wa kujua kiingereza.? 🤣 Nilikwambia battle huiwez we yako ni maneno tu
 
Hakuna cha spy ni fala mmja tuu huyo..

Harafu unakutana na taahira mmja na likitambi lake Huko mjini anapinga tozo [emoji116]
Mtu ya njombe
JamiiForums-425932758.jpg
 
Nimeona huna facts kwenye technology tuusan at least labda uje kwenye uzuri wa miji, huku utakua na cha kupost, karibu
 
Back
Top Bottom