Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Wananchi wajiongeze kupanda mitiNoma mwanangu [emoji8][emoji8][emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2341043
Wananchi wajiongeze kupanda mitiNoma mwanangu [emoji8][emoji8][emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2341043
Corona na vita vya Russia na ukraine vimesababisha gharama ya manunuzi ya vitu kuwa juu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
- Nasikia karan mmoja analipwa 1.3m kwa zoezi zima. Sijajua wako wangapi, msisahau wenyeviti wa mtaa au vijiji
- Nadhan inahusisha tender ya kununua zile vishkwambi, sijajua viko vingap..na vimenunuliwa kwa bei ngapi kwa moja
- Pia nadhan inahusisha tender ya reflectors, sijajua imetumia ngap hapo
Lkn 400b is too much kwa hili zoezi lote, im trying kuringanisha bajet ya uchaguzi na hii ya Sensa, mbona kama ya uchaguzi ndo ngumu lkn imetumia hela ndogo zaidi ya hii ya sensa. But sijui lolote [emoji2]
Ukiona mawaziri wanajitokeza kutetea tozo, bila shara wameambiwa na mama wajitokeze hadharan kutetea uwepo wa tozo.. hii tozo moja kwa moja lawama inamuhusu mama na wala si mwigulu tu. Hizi tozo zinawaumiza wananchi wa chin, yan hata kidogo walichonacho bado mnataka kuwapunjia
Hiyo ni kumanisha in one year the amount of cash handled by M-Pesa ni kubwa kuliko GDP ya Tanzania 😂Weeh! Hii kenya ina pesa bana. 3.8t in just 6 months
Duuuuh! Tozo inapunguza gap baina ya aliye nacho na asiye nacho[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]Ukiona mawaziri wanajitokeza kutetea tozo, bila shara wameambiwa na mama wajitokeze hadharan kutetea uwepo wa tozo.. hii tozo moja kwa moja lawama inamuhusu mama na wala si mwigulu tu. Hizi tozo zinawaumiza wananchi wa chin, yan hata kidogo walichonacho bado mnataka kuwapunjia
Ila kuna vitu mama anafanya unajiuliza hiv ana nia ya kugombea uchaguzi ujao au vip..mana vinamuondolea kukubalika kwa watu
Yeah. It looks like a desert. Do somethingWananchi wajiongeze kupanda miti
How did you know?Ni muiraq (Mmbulu) from Karatu Arusha.
Ndio mnafika karibuni
How did you know?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja tusikie Leo zimefika asilimia ngapi
Hizo level hamtokaa mtufikieHiyo ni kumanisha in one year the amount of cash handled by M-Pesa ni kubwa kuliko GDP ya Tanzania 😂
Kama Nairobi tuYeah. It looks like a desert. Do something