Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tayari umeshaanza na Kuni judge na uwezo wangu wa kujua kiingereza.? [emoji1787] Nilikwambia battle huiwez we yako ni maneno tu
Hasa umesikiliza iyo makala umeokota maana tofauti ulitaka nikusifie[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sasa acha kutusumbua na mascreen short yako humu...toa hoja, facts, proofs...hio ndo jf tunayoitaka...

Badili account sasa uje mpya mwenye akili timamu..
Sawa opportunity cost..
Acha upumbavu wewe,umeshashikikiwa akili na hiyo taahira anaitwa Simon na wewe umezama mazima..

Hutokaa upate utambulisho wangu rasmi na hilo jina litafute popote ukilipata ni tag
 
It's obvious,Google,Apple,Uber, Boeing,Jeep,GMC,Yahoo,Microsoft,Hizi zote zipo USA zinarun hii dunia lakini uko hapa kuongea ujinga bila uoga
We kumbe una uwezo mdogo sana wa kufkiria 🤣🤣🤣 sasa technology kubwa eti unataja magari na simu.? 🤣😘, hizo technology hatuwezi sisi tu huku Africa kutengeneza, technology za mtandao.? 🤣🤣 China wako na mitandao yao na technology zao.. hivyo sio vitu vikubwa so far dunani uko..
 
tuusan unataja technology kubwa eti unataja magari.? 🤣🤣.. watu wako huku Automated container terminal 👇. Driverless robotic taxes in China 👇. Kwakifup pitia newest smart technologies in China 👇. Sida uko busy na CCN, BBC na Aljazira vitu hiv utaona wapi.? Ndio mana hujui
 
tuusan unataja technology kubwa eti unataja magari.? [emoji1787][emoji1787].. watu wako huku Automated container terminal [emoji116]. Driverless robotic taxes in China [emoji116]. Kwakifup pitia newest smart technologies in China [emoji116]. Sida uko busy na CCN, BBC na Aljazira vitu hiv utaona wapi.? Ndio mana hujui
Hii mada naona Imefika mwisho tayari
Tatizo umelalia kichwa sana, Alafu unaleta hoja mbogamboga mezani
 
We kumbe una uwezo mdogo sana wa kufkiria [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa technology kubwa eti unataja magari na simu.? [emoji1787][emoji8], hizo technology hatuwezi sisi tu huku Africa kutengeneza, technology za mtandao.? [emoji1787][emoji1787] China wako na mitandao yao na technology zao.. hivyo sio vitu vikubwa so far dunani uko..
Unatumia Google kusearch taarifa zako lakini bado unafikiri Google ni ya lindi ama Muleba?mnajisifia kuagiza ndege za Boeing au nazo unadhani zinaundwa Mpwapwa..? [emoji3][emoji3][emoji28]na nikwasababu hauna exposure ndio unapagawa kiurahisi
 
Huna cha kunijibu nilishakwambia tangu mapema.. utapost nini sasa.? [emoji1787]
Unataka nipost nn kijana?it's obvious jamaa wako level zao...Hasa kuna nn ambacho hujui?jaribu compare China na wenzake wa Brics sio developed countries kama USA
 
Shenzhen
Commercial_area_of_futian_to_east2020.jpg
0fcd6f7b-b210-4335-b873-1e03588f0972.png
245569-Shenzhen-636x358.jpg
7b8f76d1-city-9007-17ea24bca5c.jpg
osb-hero-new-scaled.jpg
50659079-39051466.jpg
shenzhen_convention__exhibition_center.jpg
01_Crossboundaries__.jpg
09_Crossboundaries__.jpg
Hongqiao_Park_across_Guangming_District.jpg
forest-and-sports-park-in-guangming-shenzhen-china-designboom-02.jpg
586c77b9ac2342b8832edd2c8ab71c01.jpg
1000_F_220035935_DfyMsnPwQJ0bOQJnhxq6Lw3YkCQ1Xcdb.jpg
nilikwambia miji ya CHINA ni mizuri zaidi ya miji ya US . Sidhani kama New York inaweza toboa kwa uzuri wa Shenzhen. 👇. Ndani ya US hakuna mji wowote kando ya New York unaoweza kuwa competitive hata kwa Shenzhen the 6th of China
 
Back
Top Bottom