Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi msingi wa kuazishwa huu mradi wa Anwani za makazi ulikua ni nini mpaka leo sijapata majibu.. kama hivyo vielekeza mitaa vinavunjwa tu hovyo.. hii ni Sinza👇hizo bilions zilizotumika hapa mrejesho wake kwenye uchumi wetu ñi upi.? Lakin mbona sisi watanzania wa kawaida hizi Anwani za makazi sio vipaumbele vyetu.? Viongozi vilaza kama kina Nape Nauye wanafanya nini ofini?
 
Hela zipo ni wewe na mipango yako tu...
Sijui kama umenotice hata ujenzi wa nyumba za kisasa umekua kwa kasi sana nje ya mji hata mikoani,yani watu wanakamua kila idara
Hiyo ya namba za Gari kukimbia sana hapa mwanzoni mwa E nina doubt kidogo. Ngoja miezi 2 ipite tuone kama spidi itabaki hivi hivi.

Kumbuka kuna waliokuwa wanatembelea chasis number wakisubiri E. Hivyo usajili uko juu Kwa Sasa.
 
yaani dunia hii ya kidigitali huoni umuhimu wa anuani ya makazi? Anuani za makazi zinafungua ajira nyingi sana haswa kwenye masuala ya biashara zote za delivery! Ni biashara kubwa kuliko maelezo!
 
Hakuna mradi mpya wa maana utaanzishwa chini ya serikali dhaifu mzee. Wacha wamalizie miradi ya awamu ya tano basi waendelee kupiga pesa basi.
Nimekusoma mkuu. Tuendelee kupandishiwa bei za bidhaa ili tuzidi kumkubuka jembe. Nondo iliyokuwa inauzwa elfu 15 mwaka uliopita sasa hivi ni 23,bati la elfu 15 sasa hivi ni elfu 24,kila kitu ni hivyo hivyo hovyo kabisa.
 
And no single five star hotel outside Nairobi right ?
Many...............very many. Which is the 5 star hotel in Arusha anyway?
This one here in Naivasha for instance is 5-star - Enishapai resort.



...........and Mombasa has 5-star hotels too. This is Sarova Whitesands, a 5-star.




Pride Inn Hotel is another 5-star in Mombasa


Serena Beach Hotel is another 5 star in Mombasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in Kenya, sasa hapo vyuo vyao vikoje mkuu. Hii dunia bwana haina usawa kabisa.
 
Vishikwambi mbona walisema tumepewa msaada na South Korea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…