Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sitoshangaa ata ukisema USA ina
Kawaambie wanaopiga makelele sio mimi wewe fala..
Nimekwambia ukawaambie Wapuuzi wenzio, Nchi inatakiwa kuwa na maono ya Mbele zaidi ndio maana bomoa bomoa haziishi kwa sababu ya akili finyu kama zako
 
Sitoshangaa ata ukisema USA ina

Nimekwambia ukawaambie Wapuuzi wenzio, Nchi inatakiwa kuwa na maono ya Mbele zaidi ndio maana bomoa bomoa haziishi kwa sababu ya akili finyu kama zako
Kwa hiyo hako ka stand cha mbezi ndio maono?

Wewe ni mzigo hata Kwa familia yako,vitu cheap na vya wavivu kufikiria ndio unasema maono?

Stand itaondoa watu kwenye umaskini? Taahira wewe hujui hata unachoongea..

Narudia tena kukwambia watu wenye uwezo mdogo wa fikra kama wewe ndio unaona vistandi ndio maono.
 
Sijui wenzangu mliiona hii.? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡.
  • Nasikia karan mmoja analipwa 1.3m kwa zoezi zima. Sijajua wako wangapi, msisahau wenyeviti wa mtaa au vijiji
  • Nadhan inahusisha tender ya kununua zile vishkwambi, sijajua viko vingap..na vimenunuliwa kwa bei ngapi kwa moja
  • Pia nadhan inahusisha tender ya reflectors, sijajua imetumia ngap hapo

Lkn 400b is too much kwa hili zoezi lote, im trying kuringanisha bajet ya uchaguzi na hii ya Sensa, mbona kama ya uchaguzi ndo ngumu lkn imetumia hela ndogo zaidi ya hii ya sensa. But sijui lolote πŸ˜ƒ
 
Mapenzi wapi zaidi amejaza ujinga kichwani mwake kichwa box huyo
Huyu jamaa ni ignorant apewe elimu.
 
Walikuwa wenzetu wakati tunapata Uhuru, hata kama walituzidi si kwa viwango hivi lakini hata theluthi moja hatuwaingii, sijui tulikwama wapi [emoji848][emoji848][emoji848]
Unajua China ni wabunifu toka enzi na enzi
 
Ufisadi umerudi tena kama kawaida 🀦 dah roho inaniuma kisenge yani.. Dah.!! πŸ˜₯ 400 billion.? Like seriously.?
 
Jaribu kujifunza kwa walio endelea Mfano hivi unajua umbali kati ya Daxing Beijing International airport na Beijing yenyewe, watu wanafanya for future, miji sasa inapanuka kwa kasi ndio maana tunahitaji vitu vikubwa kuepusha usumbufu baadae pia serikali ikiwekeza kwenye Miradi itasaidia miji kujitegemea kimapato na kumuondolea Mwananchi mzigo wa kodi,Mfano miradi mingi China kama vile Apartments, BRT, tren za mwendo kasi mfano (Maglev) serikali imewekeza in return wanapata pesa Nyingi za kusaidia na Masikini
 
Mwalimu wako alipata shida sana kukuelewesha kaa na ujinga wako, hii Nchi ina watu wa hovyo sana hata uwatengenezee vipi, kwanza najisahaulisha kuwa unamapenzi nikikujibu tena niite Mbwa
 
Acha kuleta mifano ya kindezi..

Mwisho lazima ujue unalenga huduma gani na watumiaji wengi ni watu wa aina gani ndio uje na hizo plan zako..

Mfano wako wa airport hauendani na stand,stand wanatumia watu wengi maskini ndio maana wanalalamika na airport ni watu wa daraja la Kati na kuendelea so wao kuweka mbali sio kesi..

Usipende kukariri na ku kopi kila siku ndio maana mamiradi yenu mengi yanaishia kuwa failures kwa sababu mnakariri badala ya kuelewa na kufanya mambo kulingana na mazingira yenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…