Haya majani yameshakauka yootee, enjoy na picha za uzinduzi







TUMEKWAMBIA UTUTUMIE PICHA au ndio kuwashwa na uto tujani
Sasa maua ni kitu ya kufanya ukose usingiziHaya majani yameshakauka yootee, enjoy na picha za uzinduzi![]()


Dar kama Dar..., 2022 comparing this to Nairobi ni tusi 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Ugliest and dirtiest city in the world so far!
Angalia hizo mud buildings around CBD, kunyans mbona ghorofa zenu kama mud huts? Hazina rangi hazina style!


Hawa wapewe TUZO.Kampala has more malls that entire Tanzania.Hata ARUSHA ni bora kuliko kampala ... Kampala ni hovyo kabisa
Ni wachafu mno.Noma sanaHawa wapewe TUZO.
Hapo umenena.., it happened to some streets in Nairobi, where some were reduced to one way street for motorists, and pedestrian walks expanded, and most streets in Mombasa old town.., due to narrowness.Kariakoo and the CBD have very narrow streets, and it’s not a bad thing! I suggest that they make some of these streets pedestrian zones, and ban vehicles. If people can use the space to stroll around, more business joints will be established, and this will revitalize the streets that currently look very dull. The city will also earn more revenues.
Ushakunywa chai kwanza.? isije ikawa haya maneno ni njaa ndio inakusumbua..!🤣Kampala has more malls that entire Tanzania.
Instead of yapping, why can't you provide evidence?., domo domo ni jina lako la kati., research by Knight Frank has proven that, na picha pia zitaonyesha, nyie ni watu wa kadogo economy, malls ni anasa, so wacha kutetea ufukara mlio nayo, not unless uko na supporting evidence, unapenda kupinga ata kile kinacho onekana, uko na matatizo ya blind patriotism, nakuelewa, ni uchungu kuona Tz inawachwa nyuma kwa mambo mengine, alafu Lagos as more malls than Dar.., the findings za Knight Frank ni sq metres in total.., Lagos with a population ya 20 million with their aggressiveness huwezi ifananisha na mji wa wazembe wengi kama Dar.., 😂 😂 😂 😂 😂Hivi vitu vingine kabla hujapost unatakiwa utumie common sense tu, usilazimishe vitu mzee eti kisa list imekuplace at the top, kwaakili yako timamu Kampala inaizidi DAR kwa Malls.? Usije ukadhani vitu vya malls ni vitu vya kufikirika manzee, Malls tunazungumzia vitu vinavyookana kwa macho.. usiwe punguani hata unatukana watu kwa kulazimisha uongo uwe ukweli..
Kila mahali gharama kubwa aisee, wananchi wanakiona na wachache wanajifaidi, serikali ii kimya wananchi wake wakiumiaHii 68% ni ndogo! Mtaani watu hawaipendi serikali. Mimi ambae huwa ngombana na watu mtaani kumtetea mama na serikali yake , sasa hivi naipa serikali 4/10......je hao wengine!?
Mzee mimi nilienda chuo Ili niweze kuwa na uwezo was ku reason na sio kumezeshwa matango, mimi sie chizi was kukubaliana na takwimu kizembe since kila kitu kinakanekana kwa macho, usijisaulize hii ni battle ya videos ama picha, tusiongelee mate wakati wino upo.. Twende ground mzeeInstead of yapping, why can't you provide evidence?., domo domo ni jina lako la kati., research by Knight Frank has proven that, na picha pia zitaonyesha, nyie ni watu wa kadogo economy, malls ni anasa, so wacha kutetea ufukara mlio nayo, not unless uko na supporting evidence, unapenda kupinga ata kile kinacho onekana, uko na matatizo ya blind patriotism, nakuelewa, ni uchungu kuona Tz inawachwa nyuma kwa mambo mengine, alafu Lagos as more malls than Dar.., the findings za Knight Frank ni sq metres in total.., Lagos with a population ya 20 million with their aggressiveness huwezi ifananisha na mji wa wazembe wengi kama Dar.., 😂 😂 😂 😂 😂
Viwanda pia viliwekezwa sana.., na bado vinazidi kuingia..,Tanzania ina encourage uwekezaji wa viwanda sio majengo👇
Wewe ni chizi nakuambia, jua hilo bana, u argue to win not to be informed.., eti utaje Dar juu ya Lagos, una kichaa wewe?.., leo ni weekend, sitaki nikuharibie siku dogo, just take a chill pill and relax.,Mzee mimi nilienda chuo Ili niweze kuwa na uwezo was ku reason na sio kumezeshwa matango, mimi sie chizi was kukubaliana na takwimu kizembe since kila kitu kinakanekana kwa macho, usijisaulize hii ni battle ya videos ama picha, tusiongelee mate wakati wino upo.. Twende ground mzee
Utaratibu tuliojiwekea kila baada ya nyumba nne kuna duka lenye mahitaji karibu yote na genge pembeni....kila baada ya nyumba 5 kuna mgahawa mzuri, pub maduka ya nguo nk inafanya uwekezaji wa malls usiwe kipaumbele...Mbezi ya kimara na mbezi beach panahitajika kila sehemu ijengwe malls kubwaa,,
Hii sector wadau wanaikwepa ila hizo sehemu naona kabisa kuna fursa
Oya we jamaa leta picha au videos usiniletee vimaneno maneno, tuone kama utawezana.. nipo hapa kukuelimisha wewe mbulula unaemezeshwa matango kwa jina la research, niko hapa kukueleza DAR ambayo wewe hujui.. leta picha au videos tuone kama hautakimbia..Wewe ni chizi nakuambia, jua hilo bana, u argue to win not to be informed.., eti utaje Dar juu ya Lagos, una kichaa wewe?.., leo ni weekend, sitaki nikuharibie siku dogo, just take a chill pill and relax.,