najua mnatengenezewa akuna lolote and kenya amna umeme mkubwa mna umeme wa kuwasha bulb tyuTanzania hamtengenezi electric buses wacha ndoto za mchan
ona unaludia izo picha chafu dogo
mb
ona unaludia izo picha chafu dogo
kuna mkenya alisha fanya hii au mnaona kwetu hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimeonyesha ile kubwa kwa zote ili kuonyesha jinsi standards za Kampala ziko maanake wenzako walikuwa wanasema Kampala kuna viduka wakati Dar kuna classy malls. Unaweza tuwekea zingine ukitaka.Kwamba dar kuna mall moja ama?
Hii view ni kali. The Green City in the Sun.
Tofauti zao ni nini sasa.? They all look the same.. DSM ukuzingua malls kubwa hiyo city mall is not among them..Yani kulingana nawe hii ya kwanza ni mall kubwa na ya pili ni retail store? 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
Huwezi iweka Mlimani city Mall in the same sentence na huo upuuzi wa Uganda or any from your village centers, stop disrespecting us idiot..Hii hapa ndio mall kubwa Dar
![]()
Naweza ilinganisha na Buffalo Mall, Naivasha
![]()
Ama Ananas Mall Thika
![]()
Meanwhile Cheki Acacia mall Kampala which is arguably the largest in Kampala.
![]()
Hapa kuna Arena Mall Kampala
![]()
Hapa kuna Kingdom Kampala Mall
![]()
Garden City Mall Kampala
![]()
Oasis Mall Kampala
![]()
Forest Mall Kampala
![]()
Kiukweli Dar kwa malls bado sana especially for a city it's size. Kampala is second only to Nairobi in East and Central Africa tukija kwa malls.
tuusan
Sama boy 255
Tz_one
Mall kubwa zaidi ya hiyo hapo Dar ni mbili pekee, Mlimani City na Quality Center. Yani tuseme number 3 hayuko miongoni mwa walio bora? 🤣 🤣Tofauti zao ni nini sasa.? They all look the same.. DSM ukuzingua malls kubwa hiyo city mall is not among them..
We mbuzi NairobiWalker unaeza leta mall yoyote kubwa kama hii from the whole of Kenya kando ya Two rivers mall.? 👇.
Twende ground bradheeMbona matusi bradhee? Hasira ya nini? Hivi unataka ligi na Kenya kwa malls? Una uhakika? 🤣 🤣
Huwezi iweka Mlimani city Mall in the same sentence na huo upuuzi wa Uganda or any from your village centers, stop disrespecting us idiot..



Wacha nikupe Garden City Mall upumzike. 🤣🤣Twende ground bradhee