Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sijaridhika na hii takwimu hasa..
hivi, mbona sioni mombasa na kisumu!?.🤔🤔

Screenshot_20220825-012952_Gallery.jpg
 
Zinawasaidia nn wakati 99% ya Wakunya hamuwezi ku afford, tofauti kati ya Tanzania na Kenya ni kubwa sana, cc tunafanya miradi itakayompunguzia common mwananchi ukali wa maisha nyinyi wapumbavu mnafanya mamiradi ya kujionesha yanayoongeza ukali wa maisha kiasi cha kwamba njaa imekuwa wimbo wa taifa. Nyie mnajenga malls sisi tunajenga markets that's a big difference.
ona... kisumu kwa mfano ina masoko mingi, tena kubwa kubwa kushinda ata za mwanza.. masoko kamavile Kibuye Market, Nyamasaria Market, na Uhuru Market, ni baadhi tu ya masoko kadhaa tajika mjini kisumu pekee


hapa, Uhuru Market in Kisumu, kwa mfano.. see for yourself👇🏽
Screenshot_20220825-020628_Gallery.jpg
Screenshot_20220825-013637_Gallery.jpg
Screenshot_20220825-013738_Gallery.jpg
Screenshot_20220825-013745_Gallery.jpg
Screenshot_20220825-013728_Gallery.jpg






Kibuye Market in kisumu, now nearing completion👇🏽
Screenshot_20220825-023131_YouTube.jpg
Screenshot_20220825-015517_YouTube.jpg
Screenshot_20220825-015741_YouTube.jpg
Screenshot_20220825-015753_YouTube.jpg
Screenshot_20220825-015249_YouTube.jpg
Screenshot_20220825-021458_YouTube.jpg
Screenshot_20220825-021440_YouTube.jpg
 
naomba msome vizuri hii kitu ina maana sana uwez kusema ww ni super power uku uwezi kuzalisha na kuexport nje shame on you kenyani.. mnaitegemea TANZANIA kwa kila kitu na amjui kufanya kazi
Tanzania to Uganda mambo ni hayo hayo

Gari za Tanzania towards Uganda zipo in thousands!

 
ona... kisumu kwa mfano ina masoko mingi, tena kubwa kubwa kushinda ata za mwanza.. masoko kamavile Kibuye Market, Nyamasaria Market, na Uhuru Market, ni baadhi tu ya masoko kadhaa tajika mjini kisumu pekee


hapa, Uhuru Market in Kisumu, kwa mfano.. see for yourself👇🏽View attachment 2333984View attachment 2333985View attachment 2333986View attachment 2333987View attachment 2333988





Kibuye Market in kisumu, now nearing completion👇🏽
View attachment 2333991View attachment 2333979View attachment 2333981View attachment 2333982View attachment 2333983View attachment 2333990View attachment 2333989
Kwa masoko hata Uganda inashinda Tanzania, so I don't know where they getting the notion that they can compete with Kenya in that sector 🤣😂😂
 
Back
Top Bottom