Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1. Kibera
2. Embakasi
tapatalk_1567844934235.jpeg
tapatalk_1567844930291.jpeg
 
Hii hapa, hata hawaijui. It is right there behind Crystal Rivers. Yani that small area has 3 malls that can beat everything in East Africa outside Kenya. Yani mall Kenya zimekuwa kibao Mkenya atashangaa jinsi hiyo RockCity Mall inatesa Bongo hivo. Hiyo ikiwa Kenya hata hakuna mwenye ataijua.
DL4PcTEuwQFB_IMG_15492865680154599.jpg
EY9a3QjXkAUzELZ


DJI_0638.jpg
Hii ni kazi safi
 
na ujue ata sio tanzania tu, ata mpaka, nigeria, ghana, algeria, morroco, tunisia, wooote hao tumewakunja kwenye hili sekta
Zinawasaidia nn wakati 99% ya Wakunya hamuwezi ku afford, tofauti kati ya Tanzania na Kenya ni kubwa sana, cc tunafanya miradi itakayompunguzia common mwananchi ukali wa maisha nyinyi wapumbavu mnafanya mamiradi ya kujionesha yanayoongeza ukali wa maisha kiasi cha kwamba njaa imekuwa wimbo wa taifa. Nyie mnajenga malls sisi tunajenga markets that's a big difference.
 
Back
Top Bottom