Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Question my Kenyan brothers:

As a country, you still receive food aid from across the world. Your people are dirty poor to afford even decent meal a day, who goes to these malls and to do what exactly?
Nilitaka kukujibu ila ushajibiwa. Malls zimejaa Wabongo. Wanakuja kila siku kushop na kujivinjari kisha jioni wanarudi Bongo. Hizo apartments unazoona kando ya malls pia zimejaa Wabongo. 🤣 🤣
 
Zinawasaidia nn wakati 99% ya Wakunya hamuwezi ku afford, tofauti kati ya Tanzania na Kenya ni kubwa sana, cc tunafanya miradi itakayompunguzia common mwananchi ukali wa maisha nyinyi wapumbavu mnafanya mamiradi ya kujionesha yanayoongeza ukali wa maisha kiasi cha kwamba njaa imekuwa wimbo wa taifa. Nyie mnajenga malls sisi tunajenga markets that's a big difference.
Malls ni za ma devepers mostly, sasa zinamsaidia vp mkenya wa kawaida ilo sidhan kama ni swali la muhimu as long as zinatoa ajira huduma na kodi kwa serikali there is nothing to worry about
 
Zinawasaidia nn wakati 99% ya Wakunya hamuwezi ku afford, tofauti kati ya Tanzania na Kenya ni kubwa sana, cc tunafanya miradi itakayompunguzia common mwananchi ukali wa maisha nyinyi wapumbavu mnafanya mamiradi ya kujionesha yanayoongeza ukali wa maisha kiasi cha kwamba njaa imekuwa wimbo wa taifa. Nyie mnajenga malls sisi tunajenga markets that's a big difference.
Hata hizo soko tumejenga mingi kubwa kuwaliko, sasa sijui ni soko gani unaongelea?
 
I humbly asked a question with expectation of receiving some informative answers from my Kenyan brothers. So, asking a question in Kenya is equal to being a low IQ?
The reason why he called you low IQ is because those malls are always full with people yet you are saying that no Kenyan can afford to shop from those malls. Unless those who usually goes there are Tanzanians.
 
Upperhill

20220824_190000.jpg
20220824_185933.jpg
20220824_185845.jpg
20220824_190200.jpg
 
na ujue ata sio tanzania tu, ata mpaka, nigeria, ghana, algeria, morroco, tunisia, wooote hao tumewakunja kwenye hili sekta
🤣🤣🤣🤣 We jamaa hivyo vi two rivers mall vyako ndio vinakufanya unakua na ujeuri wa kutaja Morocco na Algeria kwamba eti you ar above them.? Are you crazy or something.? Morocco sio dunia yetu kabisa usijiongopee, unaijua Morocco Mall wewe.?
 
I humbly asked a question with expectation of receiving some informative answers from my Kenyan brothers. So, asking a question in Kenya is equal to being a low IQ?
Hili swali lako linaonesha tu ujinga.. sasa ni nani ataweka investment mahali hamna returns? Kenya inavutia more investments in malls(real estate in general) kushinda Tanzania kwasababu ina a bigger middle class
 
Kweli wewe ni fool, the largest shopping center in Africa is in Morocco 👇
640px-9685IMG.jpg
oger-mall-08.jpg
MA043_Morocco_Mall.jpg
000925804_620x393_c.jpg
oger-mall-04.jpg
some other malls in Morocco 👇
172380070.jpg
casablanca-marina-maroc-andre-der-krikorian-retail-buzz-artho-jerajian-jpg.2333919
pitia hii 👇. And many more.. hivyo vi article vyako vya mchongo visikutie kidole punguani wewe 🤣🤣
 
Attachments

  • casablanca-marina-maroc-andre-der-krikorian-retail-buzz-artho-jerajian.jpg
    casablanca-marina-maroc-andre-der-krikorian-retail-buzz-artho-jerajian.jpg
    90.8 KB · Views: 19
Hili swali lako linaonesha tu ujinga.. sasa ni nani ataweka investment mahali hamna returns? Kenya inavutia more investments in malls(real estate in general) kushinda Tanzania kwasababu ina a bigger middle class
Hizo real estates ni tangu 1960 - 2022 = 62years of construction, sass kama kweli mngekuwa mnavutia, mngekuwa mbali sana kwa sasa kama jinsi ilivyo SA kwenye real estates.

How many malls had been constructed over the past three years?
 
Back
Top Bottom