Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Have even analyzed Tanzanian youtubers, very limited in scope of their coverage, ata wakija Kenya wanakaa wanyonge, kiuchumi hawana muscles kufanya mengi, chunguza na utofautishe na Wakenya., tunatamba zaidi ya Kenya.., kwani u think Kenyans are special? financial muscles makes the difference.
Pesa za youtube zinatoka kwa advertizers wa adsense. Youtuber wengi wakitanzania hutumia kiswahili, lugha ambayo kwa kiasi kikubwa haina advertisers wanao target audience hao. Hii inafanya wao (youtuber wa kitanzania) kutotengeneza pesa kama wenzao wanaotumia kiingereza.

Watanzania pekee wanaotengeneza pesa za maana kwenye channel zao ni hizi media kubwa kama global publisher ambapo makampuni makubwa ya kitanzania yanaweka matangazo kwenye video zao.
 
Pesa za youtube zinatoka kwa advertizers wa adsense. Youtuber wengi wakitanzania hutumia kiswahili, lugha ambayo kwa kiasi kikubwa haina advertisers wanao target audience hao. Hii inafanya wao (youtuber wa kitanzania) kutotengeneza pesa.

kwani payment ni based on language ama clicks? wacha kutulisha matango pori!
 
Southern Bypass is far better than Kimara - Kibaha highway, yaani the best highway kuwai jengwa Tanzania 😂 😂 😂 😂 😂 😂 hii sio Thika Superhighway watani, pia sio expressway, wala western bypass or eastern bypass..,
1661328171697.png

1661328398439.png

1661328607518.png

1661328727392.png
 
Pesa za youtube zinatoka kwa advertizers wa adsense. Youtuber wengi wakitanzania hutumia kiswahili, lugha ambayo kwa kiasi kikubwa haina advertisers wanao target audience hao. Hii inafanya wao (youtuber wa kitanzania) kutotengeneza pesa.

Watanzania pekee wanaotengeneza pesa za maana kwenye channel zao ni hizi media kubwa kama global publisher ambapo makampuni makubwa ya kitanzania yanaweka matangazo kwenye video zao.

Hapa napingana na wewe.
Wabongo wanapiga pesa nyingi tu mjini youtube Kingine Tanzania kuna contents nyingi tu hadi kuvutia watu kutoka nchi zingine kufata content Tanzania.
Hapa bongo ni rahisi sana mtu kupata subscribes milioni moja, mfano mdogo wangu channel yake ina subscribes laki tisa kasoro.

Kuna channels za vijana wadogo wadogo wanapiga pesa za Google adsense kuliko hao uliowataja hapo.
Hao wakubwa wanapiga tu pesa kwenye matangazo local yale ya kuingia mkataba na kampumi.

Hapa Africa ni South Africa pekee ndo wanapiga pesa ndefu zaidi kwenye Google ads kwa sababu cpc yao ni kubwa mfano click moja unaweza pata 0.90$ na kuendelea...ila hapa EA wala usidanganyike na kingereza...wote tunacheza kwenye 0.01$, hadi 0.05$ per click.

So ili upige pesa inabidi u-target nchi zenye CPC kubwa.
CPC kubwa views wachache= pesa ndefu.
CPC ndogo views wengi= pesa ndefu.
Yu gerrit?
 
Kunyaland is nothing without Tanzania, absolutely nothing,

The main character of large economy is exporting muscles, Tanzania got them in tons!

Nothing Kenya export to Tanzania shadows even a quarter of this magnitude! Hapo bado other major 3 boarder points!!!

Hongera Watanzania kwa kuchapa kazi!

naomba msome vizuri hii kitu ina maana sana uwez kusema ww ni super power uku uwezi kuzalisha na kuexport nje shame on you kenyani.. mnaitegemea TANZANIA kwa kila kitu na amjui kufanya kazi
 
Hapa napingana na wewe.
Wabongo wanapiga pesa nyingi tu mjini youtube Kingine Tanzania kuna contents nyingi tu hadi kuvutia watu kutoka nchi zingine kufata content Tanzania.
Hapa bongo ni rahisi sana mtu kupata subscribes milioni moja, mfano mdogo wangu channel yake ina subscribes laki tisa kasoro.

Kuna channels za vijana wadogo wadogo wanapiga pesa za Google adsense kuliko hao uliowataja hapo.
Hao wakubwa wanapiga tu pesa kwenye matangazo local yale ya kuingia mkataba na kampumi.

Hapa Africa ni South Africa pekee ndo wanapiga pesa ndefu zaidi kwenye Google ads kwa sababu cpc yao ni kubwa mfano click moja unaweza pata 0.90$ na kuendelea...ila hapa EA wala usidanganyike na kingereza...wote tunacheza kwenye 0.01$, hadi 0.05$ per click.

So ili upige pesa inabidi u-target nchi zenye CPC kubwa.
CPC kubwa views wachache= pesa ndefu.
CPC ndogo views wengi= pesa ndefu.
Yu gerrit?
Kenya tuliwekwa league moja na South Africa last year..,
1661332170828.png

1661332183532.png

1661332226755.png
 
Back
Top Bottom