Hivi mnajua maana ya BRT system au mnachukulia mazoea?Hii ni picha ya kitambo, yakifanyiwa ma test... operations will begin officially on 24th
Hivi mnajua maana ya BRT system au mnachukulia mazoea?Hii ni picha ya kitambo, yakifanyiwa ma test... operations will begin officially on 24th
Kapiga goli la kibabe sana huyu Lewandowski
kenya mniambie iyo ligi yenu ya maandazi apo nairoo imesha wai kusajili mzungu hahahahahaaaaaa haibu sana kwa wakunyaaaa

pia hapa ni johannesburg, gauteng province..🤔Kwanini ma road yenu machafu hivii?
Wapiìi daraja la kupitisha ngombe unategemea liwake taaalafu unionyeshe daraja la waenda kwa miguu la kenya linalo waka taa ucku i will die *****



Dah naona the cask hapo kwa mbaliThe biggest Mall along lake Victoria so farView attachment 2331866View attachment 2331868View attachment 2331871View attachment 2331873View attachment 2331874View attachment 2331875View attachment 2331877View attachment 2331878View attachment 2331879Lake zone's capital.. Don YF. Mombasa Iko na chochote similar to this.?
![]()

Kazi kazi tuu tunakimbiza mwizi kimya kimya propaganda peleka Kunyaland.
you have a keen eye bro.. kumbe wee ni kaa tu mimi, pia mi naona the Casket kwa mbali😆Dah naona the cask hapo kwa mbali![]()
Wageni waliokuja Arusha kwenye mkutano mkuu wa CAF walishangaa sana wakauliza huu mji ndio Capital ya Tanzania? Wakajibiwa huu mji sio Capital city bali ni mojawapo ya miji ya Tanzania. Kiuhalisia walishangazwa sana na level ya development kule Arusha.Hii umekaa poa sana
na usisahau hio mall yenu 'Rock City Mall' ili designiwa na mkenyareé.. ila bado kwa mall concept, bado mko nyuma saaana.. 50 years behind if am not so wrong..The biggest Mall along lake Victoria so far 👇View attachment 2331866View attachment 2331868View attachment 2331871View attachment 2331873View attachment 2331874View attachment 2331875View attachment 2331877View attachment 2331878View attachment 2331879Lake zone's capital.. Don YF. Mombasa Iko na chochote similar to this.? 🤣🤣
hivi nimecheka yangu yote na hizi porojo zako!!🤣Wageni waliokuja Arusha kwenye mkutano mkuu wa CAF walishangaa sana wakauliza huu mji ndio Capital ya Tanzania? Wakajibiwa huu mji sio Capital city bali ni mojawapo ya miji ya Tanzania. Kiuhalisia walishangazwa sana na level ya development kule Arusha.
Sio ukora ni Ukara na watu wake ni mkara au wakara.Mbona ikaitwa Ukora? ina maana wale wavuvi ni wehu?![]()
Shame on you shida yako ni ushamba unakusumbua hebu wewe weka your expensive stuff tuone.. mtu ambaye anongelea status za watu most of the time he is the cheapest kwa groupWe jamaa utaacha lini kutumia vitu low quality? Kila siku simu yako haina chaji na hii ni 99% ya Wakunya wa humu mnamiliki vitu cheap sana, mna maisha magumu mno.View attachment 2332826
Yani hadi uongeze parking na mahali pa watoto kucheza? 🤣 🤣Hii ni size ya kiwanja ilipojengwa
![]()
Rockcity mall shopping area ni 48,250sqm
Ila ukiweka na sehemu ya parking pamoja na ya kucheza watoto inakuwa 71,990sqm
Nje ya Dar, (na hiyo Dar yenyewe ni sehemu ndogo iliyo endelea) ni Kiswahili tu mtaandika humu, leo hii uongo na porojo haina maisha humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Moshi ilishaifunga kipoison mdomo kitambo tu
Wivu kisa hakuna ya ku level nazo nje ya Dar, yani zero response😂😂😂😂😂., tulieni porini iko siku mtachomoka, ni uchungu ila vumilia mjukuu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mabarabara machafu kweli kweli![]()
It's a mall tokea zamani sana, hiyo na Swan centre ndio malls za kwanza kwanza kule Kisumu.,Hii mega plaza yote ni Mall au umeanza kuchanganyikiwa .? 🤣🤣
Kenya nzima hakuna sehemu safi kama hii,. Jamaa ni wachafu na miji yao michafu inanuka.