IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Hii ni picha ya kitambo, yakifanyiwa ma test... operations will begin officially on 24thNioneshe zikiwa 3 niondoke Tanzania ๐ ๐ ๐ ๐
Hii ni picha ya kitambo, yakifanyiwa ma test... operations will begin officially on 24thNioneshe zikiwa 3 niondoke Tanzania ๐ ๐ ๐ ๐
Nyumba za waarabu vs office blocks, hiyo naipea Eastlands kazi kwisha๐๐๐๐๐๐Punguza upumbavu View attachment 2331482
Hii ni picha ya kitambo, yakifanyiwa ma test... operations will begin officially on 24th
Aliekuambia kariakoo wanakaa waarabu peke yao ni nani? ๐ ๐ ๐Nyumba za waarabu vs office blocks, hiyo naipea Eastlands kazi kwisha๐๐๐๐๐๐
Aliekuambia kariakoo wanakaa waarabu peke yao ni nani? ๐ ๐ ๐
Hawa ni waarabu?
In other words you want me to satisfy your outrageous ego? I really couldn't give a monkey'sUnaelewa kiswahili lakini? ๐ ๐ ๐
Nazitaka 3 kwa pamoja nipaki mabegi
Inauma lakini ndio dawa ๐ ๐ ๐My point is they are apartments ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ .., Dar ni Mombasa kabisaaaa
BRT mmeishia wapi Hadi leo Bado mnachora BRT lane tu?
Si useme tu hamna ๐ ๐ ๐ sio dhambi kwamba mnajitapa na vijibasi viwili ๐In other words you want me to satisfy your outrageous ego? I really couldn't give a monkey's
Wewe nionyeshe a single picture of electric brtSi useme tu hamna ๐ ๐ ๐ sio dhambi kwamba mnajitapa na vijibasi viwili ๐
ona ssa
Kwanini kila company inawaletea basi mbili mbili tu kama vidonge vya UTI? ๐ ๐ ๐Wewe nionyeshe a single picture of electric brt
Yaani Nape ndio kasema kuwa kipindi cha nyuma vifurushi vilikuwa juu kuliko kipindi hiki kwamba vimepungua wakati watu tunapunguza matumizi ya bundles ili tuweze kudumu muda mrefu?Yupi huyo?
Nahisi haujanielewa
Kumbe hata wewe unajua vitu kama izo zinapatikana eneo hili tuKwanini kila company inawaletea basi mbili mbili tu kama vidonge vya UTI? ๐ ๐ ๐
View attachment 2331511View attachment 2331512
Shida yake anapokea kila ushauri anaopewa bila kuupima kwa mapana yake. Hizi kodi zitamuweka pabaya kwenye ramani ya siasa. Wananchi ndio wataamua, kodi kodi kila kitu.Mtapigia mama kura ama mnamrudisha Zanzibar ikija mwaka wa uchaguzi? naona kawatesa kwa kodi..., natabiri atashinda tu bado, pengine CCM imteme kimaksudi.,
Mzee basi ni basi alimradi linaenda, kikubwa ni system kama BRT ambayo kwa Africa ni Tanzania unaipata tu, zungukeni mchore lipstick mpaka baharini lakini BRT mtaisikilizia ndotoni! ๐ ๐ ๐Kumbe hata wewe unajua vitu kama izo zinapatikana eneo hili tu
Mwenge hii siyo. Kazi nzuri sana.JWTZ residence
View attachment 2331491View attachment 2331492View attachment 2331493View attachment 2331494
Westgate-Shoplifters residence
View attachment 2331495



Kenya ni Dampo.Kwani naipori ni Kibera tu? ๐ ๐ ๐
Huu uharo usiomithilika ni London?View attachment 2331464View attachment 2331465View attachment 2331466View attachment 2331467View attachment 2331468View attachment 2331469View attachment 2331470View attachment 2331471View attachment 2331472