Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwnn moja unaweka picha za mawinguni alafu nyingine unaweka picha za chini, unaogopa nn au unadhani watu hawajaona kichapo mlichopokea kuhusu Mwanza, kama unaweka picha za mawinguni basi weka kwa miji yote au kama unaweka picha za chini basi weka kwa miji yote, inferiority complex inakuumiza sana
Picha ya mawingu mwenzangu alikua ameweka tayari, ama unataka kuziona.., my google earth page iko tayari siku zote...,
1661255152233.png

1661255551558.png

1661255445933.png

1661255178227.png

1661255215873.png

1661255242881.png

1661255262756.png

1661255356516.png
 
Tuko 2022 wewe unaleta story za 2017
Sasa na vile tumeongeza gap kwa sasa itakuaje? jiulize na ujijibu, that was just to give u the overall economic picture ya miji za East Africa, Mombasa ikiwa mmoja ya mababe.,
 
kumbafu!

nb:
only two samples among more than 30malls within mombasa.
yaani, mambo na malls achia tu kenya, south africa na egypt..

nyali centre mall, mombasa👇🏽View attachment 2331909View attachment 2331905View attachment 2331906View attachment 2331907

city mall, nyali, mombasa👇🏽View attachment 2331895View attachment 2331896View attachment 2331897View attachment 2331898View attachment 2331899View attachment 2331900View attachment 2331901
Wacha kuweka haya mauchafu 🤣kwenye sentence moja na Rock City Mall we kilaza.. kuanzia ukubwa mpaka classy ..
 
Hujielewi

Kisumu ina

Universities ngapi?
Referral hospitals ngapi?
How big is it's Airport, Bus Terminal, Railways?
Crucial economic activities zipi?
National GDP input how much?
Population kiasi gani?
Developed area, how big?
Hotels and Lodges, which standard?
How's poverty rate?
The list is endless.......

Huwezi kusema zinachuana kwa vijipicha vya ubavu ubavu

Developed area ya kisumu hata Singida ni kubwa
Google earth iko, usiteseke.., link hii hapa.., moja kwa moja hadi Kisumu, kisha usiwe na haraka, fanya uchambuzi, zoom kila eneo pole pole..,
 
🤣🤣🤣 Huu ni upuuzi mzee, hapa hakuna kitu, cities za Bongo kando ya Dar ziko small rises buildings like 10 storeys buildings kwa wingi zaidi kuliko huko kwenu, hasa hii Kisumu ndio hakuna cha kuona kabisa 🤣🤣🤣 Kitu chenye utajisifu nacho ni hizo calvart tu
 
Mimi sitaki domo domo yako na pia usishikwe na hasira leo, kuja pole pole.., google earth mbona iko tu.., naweza kuchambua Mwanza yote kwa ujumla kila eneo pole pole.., wewe taja eneo Mwanza nami nakuekea muonekano kutaka kwa satellite.., uko tayari?
 
Eleza ulichoulizwa baba usipost post vipicha kama mbwa 🤣🤣
Hizo zote ziko kwa vidole zake.., mtandao upo.., google earth iko., ni nini huwa inawasumbua?.., uzembe ama ujinga? ama zote mbili?.., hizi zote unaweza kupata online..., just type kila swali kwa google..,
 
Mimi sitaki domo domo yako na pia usishikwe na hasira leo, kuja pole pole.., google earth mbona iko tu.., naweza kuchambua Mwanza yote kwa ujumla kila eneo pole pole.., wewe taja eneo Mwanza nami nakuekea muonekano kutaka kwa satellite.., uko tayari?
Mwanza ni kubwa mzee we si uko na google Earth .? Pitia tu uione mwenyewe
 
Nimeona ni kubwa, lakini sio developed vile, sehemu kubwa ni hovyo, kama tu Dar.., wacha niweke picha zote humu, tokea CBD hadi maeneo nje ya CBD, nipe mda kidogo..,
 
Achana na Mwanza kabisa kaka, ni Rocks ndio zinainyima Mwanza taswira nzuri kwa picha za juu Jitahid uje utembee, Mwanza ni kubwa na imeendelea sana since it's the capital of 7 regions of Tz .. kwanza ni mkoa pekee wenye uko na Bus terminals kubwa za kisasa mbili, Nyamhongolo bus terminal and Nyegezi bus terminal (google the distance) and all those terminals are in the city..
 
Naona kuna sehemu inaitwa Ukora Island kwa lake, unapajua?.., nataka ninunue shamba pale, eti Ukora 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mwanza ni pana, liko wazi sana, hio sipingi, lakini haiwezi fika levels za Mombasa, itakua ni utani tu.., sehemu kama ni nzuri na imepangika google earth itaonyesha tu..,
 
Naona kuna sehemu inaitwa Ukora Island kwa lake, unapajua?.., nataka ninunue shamba pale, eti Ukora 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Visiwa vyenye viko karibu na mji wa Mwanza ni Saa nane island (hii ni national park) na ukerewe island hiki ni kisiwa kwaajili ya shughuli za uvuvi nakadhalika
 
Sasa na vile tumeongeza gap kwa sasa itakuaje? jiulize na ujijibu, that was just to give u the overall economic picture ya miji za East Africa, Mombasa ikiwa mmoja ya mababe.,
Mmeongeza gape la kufa njaa au? Mm mpk leo huwa najiuliza Wakenya mnatoa wapi ujasiri wa kujilinganisha na Tz nchi ya ndoto za wana EA wote ikiwemo Wakunya. Wakati mwingine huwa naona Watz tunajichoresha kuweka battle na Kenya, hakuna battle hapa zaidi ya kuwaliwaza tu.
 
Wewe na hizi hadithi zako za alinacha jipe shughli, akili yako fupi kweli, unajitekenya tu, jibambe, dunia ya leo haudanganyi watu mjukuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom