Idiot.Nasema hivi kamuongopee babaako kijijini [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2331603
Hivi hiyo barabara ya brt walitengeneza lini,waje tuwaonyeshe barabara za brt zinavyokua sio za kupiga rangi 😀Makenya bhn hayana akili kweli kweli, eti yamenunua gari moja la maonesho ili nayo yaonekane yana BRT system, kila siku hivyo vi bus havina abiria wanapiga picha ili kushindana na Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiz toothpicks hazitoki tena China
Yeah. Maana yake ulikuwa na akiba. Tukisema Watanzania hatuna njaa watu watuelewe jamani [emoji16][emoji16][emoji16]Na mwisho wa mwezi bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]View attachment 2331626
Vile ambavyo wakenya wanaangalia maendeleo ya TZ
izo farasi uku bongo wanatumia askari polisi usitutishe mkuda ww au nyie mmefuga za mkopo nn
Naona umeamua kuwatembezea vitasa mpaka wamepotea humu jamvini. [emoji109][emoji109][emoji109]View attachment 2331669
wakenya mnasikitisha sana nyie pale mnapoona watu ambao awashobokei kiingereza wanaendelea kuwashinda hahahahaaaaaaa
wabongo atupoi na siwezi kuhama bongo *****Naona umeamua kuwatembezea vitasa mpaka wamepotea humu jamvini. [emoji109][emoji109][emoji109]