tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kunapendeza sanaWageni waliokuja Arusha kwenye mkutano mkuu wa CAF walishangaa sana wakauliza huu mji ndio Capital ya Tanzania? Wakajibiwa huu mji sio Capital city bali ni mojawapo ya miji ya Tanzania. Kiuhalisia walishangazwa sana na level ya development kule Arusha.