wilsonwizzy
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 627
- 2,731
wakazi wa milimani kwa akili yangu ilivyokuwa ndogo nlikuwa najua ni maskini kumbe wanamaisha yao normal kabisa
serikali imewapelekea mpaka miundombinu yote
iwe umeme, maji,barabara nzuri tu mpaka nyumba za ibada kama zinavyooneka kwenye picha hapo