Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

atimes ancestors can be very ruthless and unfair.... but why wangwana.., why allow one, go thru' all these hell of shit..!🤔
600px-Raila_A._Odinga.jpg
 
Ninyi mnafuatilia kila kitu cha Tanzania, kuanzia Bongo flavor, football ya Tanzania hadi siasa za Tanzania, hasa Magufuli, Lissu na wanamziki wote.

Diamond alikuja katika kampeni za uchaguzi wenu, baadhi ya viongozi wenu mumekuwa mkiwapa majina ya viongozi wa Tanzania (Fred Matiang'i/Magufuli).

Huku Tanzania inaweza kuputa mwezi mmoja bila kusikia redio au TVs station yoyote kupiga wimbo wa Kenya.

Kitendo cha Diamond kuitwa kufanya kampeni za Raila ni dhahiri kwamba tumewatawala sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Oohhh nice upper cut
 
Ninyi mnafuatilia kila kitu cha Tanzania, kuanzia Bongo flavor, football ya Tanzania hadi siasa za Tanzania, hasa Magufuli, Lissu na wanamziki wote.

Diamond alikuja katika kampeni za uchaguzi wenu, baadhi ya viongozi wenu mumekuwa mkiwapa majina ya viongozi wa Tanzania (Fred Matiang'i/Magufuli).

Huku Tanzania inaweza kuputa mwezi mmoja bila kusikia redio au TVs station yoyote kupiga wimbo wa Kenya.

Kitendo cha Diamond kuitwa kufanya kampeni za Raila ni dhahiri kwamba tumewatawala sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa hv huko tik tok wanaanzisha hadi ugomvi kwa ajili ya kudanganya nyimbo za Tanzania ni za kwao,jamaa ovyo kweli hao
 
View attachment 2328992
Watasingizia uchaguzi, hawakubali kushindwa hao watu.

Hivi hii mipango iliishia wapi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hv huko tik tok wanaanzisha hadi ugomvi kwa ajili ya kudanganya nyimbo za Tanzania ni za kwao,jamaa ovyo kweli hao
Hawa jamaa ni Bure kabisa, Sasa hivi utasikia wakidai kwamba mafanikio ya kuongezeka kwa umaarufu wa Ligi kuu ya Tanzania ni kutokana na wakenya kufuatilia Ligi kuu ya Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mama atupishe, ameshindwa kudhibiti mfumuko wa bei, watu wanajipangia bei wanazotaka mama akiulizwa anakwambia dunia nzima gharama za maisha zimepanda pia vita vya Russia na Ukraine imechangia, very lame excuse. Ukweli ni kwamba sio mtu yeyote anafaa kuwa Rais japo mtu yeyote anaweza kuwa Rais.
Ni kweli kwenye kupanda kwa bei imekuwa mashindano kwa wafanyabiashara, watu wanajipangia wanavyotaka utadhani hakuna mamlaka za kudhibiti mfumuko wa bei.

Hivi ukiwa unapewa taarifa na wasaidizi wako huwezi kureason na kukataa kwamba hiki kitu siyo sawa.?

Kuna duka nimekwenda kununua dawa ya meno nikaambiwa ni shs 5000 badala ya 2500 ya hapo awali....Ukraine inaingiaje hapo. Watamgombanisha na wananchi wake.
 
1.Kulingana na comment yako ni kwamba Watz hawasafiri kabisa.

2. Ulitaka idadi ya Watz kwenda kutalii Kenya iwe sawa na idadi ya Wakenya wanaokuja Tz kutalii je unafahamu kwamba Tz ina vivutio vingi kuliko Kenya?

3. Huoni kama hiyo idadi ya Watz 76,000+ wanaoenda kutalii Kenya haitofautiani sana na idadi ya Wakenya 80,000 wanaokuja Tz kama utaangalia wingi wa vivutio tulivyo navyo? Je huoni kama Watz wana pesa nyingi licha ya kuwa na vivutio vyote vinavyopatikana Kenya lkn bado wanaenda?
Logic.
 
Chizi huyo pia ametoa taaarifa kuwa kipindi cha mama gharama za vifurushi vya data vimekuwa kuwa bora kwa gharama nafuu
Huyu vipi aisee, ndivyo alivyosema au amewekewa maneno mdomoni? Yaani tunavyokamuliwa mpaka mtu unapunguza matumizi ya bundles ndio imekuwa nafuu?
 
atimes ancestors can be very ruthless and unfair.... but why wangwana.., why go thru' all these..? View attachment 2328950
dopchinski: Kuna article nimesoma kumbe ni kweli babu alimtolea maneno makali huyu baba yetu kwamba Urais utamponyoka baada ya kukaribia kuupata.

Ni baada ya baba na vijana wenzake kumtaka babu aachie madaraka kwenye chama alichokuwa akikiongoza kwa madai kwamba ameshazeeka.

Laana bila sababu haimpati mtu(kitabu kinasema hivyo bible).Lakini hapa baba alizingua kumdharau mzee wake tena akiwa ukumbini kwenye mkutano.
 
Can we stop this Kenyan madness kusema sijui 6th duniani, ufala huu. Why not do it to our best . We are poor nation, very poor .
Tazama hapa ni Galatasaray , Turkey. View attachment 2328073
That's Tanzanian inferiority complex, usigeuze mkeka., it has been proven again and again that u only hate what is above u not below u., stop mentioning Kenya out of #jealousy
Makosa iko wapi if we appreciate our little progress as Africans.., alafu uzi unaitwa "battle"., ndio maana ya debate na posts nyingi utaona zinahusu; better, biggest, largest, many, more beautiful etc, for fun, cha msingi ni maendeleo mazuri pande zote mbili, wewe fungua uzi mwingine kuhusu development nitachangia, la sivyo zoea battle.., watu wa roho chafu, wachawi na warogi kama The best 007 na joto la jiwe pia wanakubalika hapa watutumbuize kwa ujinga wao😂😂😂😂😜😜, kuna sober minds, with balanced views kama..., mnawajua siwataji, chema cha jiuza.

Nini cha ajabu hapa? 👇 👇 wewe unashangazwa na appartments? skyscrapers? stadium? ama aina ya barabara?.., Africa pia inapiga hatua, sio vile ilikua miaka ya nyuma japo hatujafika.,
1660975001335.png


Nairobi
1660974986830.png

1660975288547.png

1660975570210.png

1660976849989.png

Mko na skyscrpapers, BRT, pia uwanja though not to the levels ya Galatasaray, yote ni hatua., appreciating kile kidogo mnacho na kulinganisha na wenzio kwa kujivunia sio kosa.,
Dar es Salaam;
1660975953545.png

1660976314925.png

1660976221194.png

1660976338528.png
 
Kwnn uweke filter ndiyo upost? Nyie picha zenu bila filter huwa hamjiamini kabisa, haya niambie huku nyuma ya jengo kwenye haya matandabui a.k.a ma spider mbn huweki picha yake tuone View attachment 2328907View attachment 2328908
Wacha kulazimisha mawazo yako potovu hapa bongolala. It's clear hiyo bati ya red ni fence ya ujenzi.

Eti filter! Unataka nikuonyeshe picha za Dar mlizojaza makeup ndio ujue filter ni nini?
 
Back
Top Bottom