The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
1.Kulingana na comment yako ni kwamba Watz hawasafiri kabisa.Unaendeshwa na mihemko,Sasa kati ya wakenya na watz ni wapi walioongoza kusafiri?achana ushabiki mandazi
2. Ulitaka idadi ya Watz kwenda kutalii Kenya iwe sawa na idadi ya Wakenya wanaokuja Tz kutalii je unafahamu kwamba Tz ina vivutio vingi kuliko Kenya?
3. Huoni kama hiyo idadi ya Watz 76,000+ wanaoenda kutalii Kenya haitofautiani sana na idadi ya Wakenya 80,000 wanaokuja Tz kama utaangalia wingi wa vivutio tulivyo navyo? Je huoni kama Watz wana pesa nyingi licha ya kuwa na vivutio vyote vinavyopatikana Kenya lkn bado wanaenda?


mbn huweki picha yake tuone

