The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Nilikuwa nasubiri nione kama kweli laana huwa inafanya kazi, now nmeamini aiseee, licha ya kupewa support na rais aliyepita lkn imeshindikana kabisa.dopchinski: Kuna article nimesoma kumbe ni kweli babu alimtolea maneno makali huyu baba yetu kwamba Urais utamponyoka baada ya kukaribia kuupata.
Ni baada ya baba na vijana wenzake kumtaka babu aachie madaraka kwenye chama alichokuwa akikiongoza kwa madai kwamba ameshazeeka.
Laana bila sababu haimpati mtu(kitabu kinasema hivyo bible).Lakini hapa baba alizingua kumdharau mzee wake tena akiwa ukumbini kwenye mkutano.




