Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa
Kuna wakati huwa ninaamua kuachana na watu Kama wewe kwa kuhusu uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo Sana.

Kenya human wright watch imesema kwamba 2017 at least watu 24 Kenya waliuliwa

Naomba uonyeshe Tanzania 2020 au 2015 kutoka reliable sources, Kama Kuna watu waliuliwa hata nusu ya hao 24.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Si ulisema ni over 60 comes again the number has reduced to 24?😂
 
Wewe ukiambiwa uprove violence unaingia mitini yet unarudiarudia kuimba violence hapa?

How quickly we forget how the Tanzanian president had to go to Kenya to tell you guys to stop killing each other just a few elections ago.

A quote from your own president:

“Let me begin by saying that President Kikwete is an old friend of Kenya. It is no exaggeration to say that had it not been for his help in the past, especially after the disputed 2007 elections, Kenya’s history might have been very different.

So for that, we as a nation and as a people are grateful for his input,” President Kenyatta said on October 6 during the joint Kenya-Tanzania business forum at a Nairobi hotel.

Mombasa

15924273_29820633153050879896116166631021633144013077n_webp_jpegef947c21217c26dd8ab49bc36b8ed...jpeg
15924272_298256488428197862429196690733340274222369n_webp_jpegca7a5b3b8d6579273edf7bf65752dac0.jpeg
15924271_2984658031453415648062266985516077067170211n_webp_jpeg7c8ca3c9fcbb964320a7b5e9b214146f.jpeg
15924270_2955575234184783669077998800837837427976527n_webp_jpeg770d9406d8618eacf1639b1f431e6969.jpeg
15924265_2961366673836138372167906174653134341594290n_webp_jpegeb6b8849cfcc96bb17284218332d5bb9.jpeg
15924263_2787247863662316387755715754445578097461233n_webp_jpeg8112324826ea96a86333209d33f9071b.jpeg
15924262_2787331084019276547492731389376992166039855n_webp_jpegb79daba97ceb782ba5107659de02223d.jpeg
 
kenya is so peaceful at this moment after election, today i arrived home kericho and found everybody going about their business so peacefully without any interference.

instead ni baridi tu ndo mingi sana!
20220818_184824.jpg
20220818_184839.jpg
20220818_184830.jpg
 
How quickly we forget how the Tanzanian president had to go to Kenya to tell you guys to stop killing each other just a few elections ago.

A quote from your own president:

“Let me begin by saying that President Kikwete is an old friend of Kenya. It is no exaggeration to say that had it not been for his help in the past, especially after the disputed 2007 elections, Kenya’s history might have been very different.

So for that, we as a nation and as a people are grateful for his input,” President Kenyatta said on October 6 during the joint Kenya-Tanzania business forum at a Nairobi hotel.

Usiingilie mambo huelewi wewe, tunaongelea violence since 2013 elections.
 
Wakuu,

Wakati ndugu zetu wa Kenya wakimaliza uchaguzi kwa amani na kutoa funzo la hali ya juu sana kwa kuendesha uchaguzi kitaalamu sana huku kila mtu akijipakulia matokeo na kujumlisha bila shida hali ni hivyo hivyo kwenye miundombinu yao.

Kwakweli Nairobi iko mbali sana. Flyovers zao ni za kibabe sana! Huwezi fananisha na kale kadaraja ka kijazi tunakojitapa nako kila siku, Kule Thika superhighway ni balaa, miundombinu ya Nairobi ni kiwango cha Ulaya au China kabisa.

Hapa Dar zaidi ya vidaraja hakuna superhighway yoyote. Hivi tunakwama wapi?
Nenda Google maana ya interchange na expressway, unataka interchange iwe kama expressway? Ni sawa na kushangaa mbona paa lako halijajengwa kama floor ya tiles ya jirani, mpaka hapo akili yako tumeshaijua!
 
Huyo jamaa hajielewi a nafikiri akili yetu imefungiwa Dar kama Wakunya akili yao ilivyofungiwa Nairobi, mradi kama electric SGR wenye zaidi ya kilometers 2500 unaopita zaidi ya 65% ya Tanzania tungeamua uwe hizo 'superhighways' anazolalama nazo hapa hapo Dar tungekuwa nazo 200, JNHPP tungeamua iwe expressways Dar tungekuwa nazo 500 lakini akili yetu sio fupi kama wao

Usiseme tunakwama wapi. Sema unakwama wapi. Wewe utakua umeishia darasa la saba na pia ulikua huzingatii masomo. Yaani kwa kiswahili kilicho nyooka wewe ni Mbumbumbu.

katika ujenzi wa nchi kuna kitu kinaitwa: priorities.

Hakuna mtu mwenye akili hata asiye na akili anaweza chagua kiatu dhidi ya chakula. Kinachoendelea Kenya ni ufisadi wa kutisha kwenye hiyo miradi wajinga wanashangilia.

Wala rushwa Kenya wamejikita kwenye miradi isiyo na tija kwakua wana chao kikubwa kwenye hizo projects. Kiuhalisia, priority ingekua ni food security.

Sisi Tanzania ingawa tunakua na viongozi wa hivyo kama samia lakini still, tunafanya mambo ya msingi kwanza. Hivyo vi flyover ni $100M project. Tukimaliza mammbo ya msingi, vitasimama kama uyoga.
 
Wacha kuongea upumbavu wewe jamaa, Mwanafunzi kutoka chato ndie muuni alietekeleza Madaraja, flyovers, international airports, mahospitali makubwa, the longest SGR in the entire continent, JNHP, Miradi mikubwa mingi pamoja na DODOMA new government City... Na barabara karibu zote mpya Tz zilitekelezwa chini ya usmamizi, haya hao wasomi wa kutoka Dar na Kumalizia elimu zao majuu wanalifanyia nini hili taifa pamoja na wewe mpuuzi mwenzao..?
Kuna watu wamekuja kuchafua hii forum, best you can do is just to ignore them

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Usiingilie mambo huelewi wewe, tunaongelea violence since 2013 elections.
Why you start from 2013, Israel hadi Leo inazungumzia mauaji ya halaiki yalitofanywa na Hitler in 1940s, Rwanda 1994, USA September Eleven 2001, vipi ninyi hamtaki kuzungumzia your PEV of 2007 which is the most recent than the rest?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa hajielewi a nafikiri akili yetu imefungiwa Dar kama Wakunya akili yao ilivyofungiwa Nairobi, mradi kama electric SGR wenye zaidi ya kilometers 2500 unaopita zaidi ya 65% ya Tanzania tungeamua uwe hizo 'superhighways' anazolalama nazo hapa hapo Dar tungekuwa nazo 200, JNHPP tungeamua iwe expressways Dar tungekuwa nazo 500 lakini akili yetu sio fupi kama wao
Watu Kama hao hakuna sababu ya kujibishana nao, watakushusha kiwango

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom