Ninachotetea ni kuwaingiza TISS kwenye mambo ya kijinga ya uchonganishi. Hivi kweli taasisi nyeti inayolinda usalama wa Taifa na raia wake kwamba iko Kenya inaratibu mchakato wa kuiba kura nisimame mbele na kupongeza kwamba ni sahihi kweli mkuu wangu?Mkuu, hawa wakenya usiwatetee kwa lolote sio watu wazuri hata kidogo, Lissu yupo Belgium lakini wanamuamini na kutumia maneno yake kuikandamiza na kuipinga Tanzania, vipi unasema kwamba Miguna yupo Canada hawezi kujua kinachoendelea Kenya?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watanzania hii inferiority complex itawaondoka lini? Unajua huu uchaguzi iko na observers wangapi?JK yuko pale strategically kama mkuu wa EAC observers sasa atokee kichaa abishie matokeo hakuna rangi ataacha kuona hapa EAC.
Umeongea vizuri sana ila wengi hapa umewapigia tu guitar.Ninachotetea ni kuwaingiza TISS kwenye mambo ya kijinga ya uchonganishi. Hivi kweli taasisi nyeti inayolinda usalama wa Taifa na raia wake kwamba iko Kenya inaratibu mchakato wa kuiba kura nisimame mbele na kupongeza kwamba ni sahihi kweli mkuu wangu?
Kama ningeambiwa ni CCM wanamsupport mgombea fulani ningeona kidogo ni sawa maana wote ni wanasiasa lakini TISS, JWTZ na POLISI wapo kwenye nchi ya watu,raia wa hiyo nchi wanaitafsiri vipi, je wakiamini wakalipa kisasi tutakuwa tumejipostion vipi.
Chuki na fitina zozote kwenye nchi yetu tuzipinge kwa hoja na kutanguliza Uzalendo mbele hasa zile zinazogusa na kuhatarisha Usalama wa Taifa.
Hivi mkuu unajua siyo kila taarifa ni habari sahihi, na siyo kila ukweli unaoujua ni lazima uuseme hadharani, vitu vingine tupige kimya huu ndio Uzalendo kwa nchi yetu.
Maybe according to you iko slow but it's a continuous proces going on day and night. So far, they've verified 180 constituencies. 110 to goBut umeona hiyo rate ya verification iko very slow in three days they have already verified 50 out of 290 centres.
Me neither. Watu wengi wanaokimbia nchi zao halafu wanaanza kuzipondea si watu wa kuwaamini hata kidogo. Kama wana uchungu na wako tayari kutetea kwanini wasibaki na sisi tutetee kwa pamoja?Mimi sijawahi kumuamini Lissu.
Hao vijana nasikia ni ATPU (Anti Terror Police Unit)Security iko tight. Hao vijana waliovalia magwanda ya green ni wa kikosi gani?
👇 👇
View attachment 2323613
I like honest people like you. Sio watu waliojaza ubishi kwenye ndimi zaoNi swali zuri. Sina uhakika kama alikuwa anafanyia hapo au ilikuwa ni baadhi ya Ofisi za Wizara ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.
Maana hilo jengo lilitumika na watu wa Wizara ya Nishati na Madini kabla hazijatenganishwa.
So nisidanganye hapa before ofisi yake ilikuwa wapi sijui. Uwenda alikuwa na ofisi nyingine maana ukiangalia ofisi ya PM ni nzuri na ya hadhi kuliko hilo jengo.
In my opinion it's just about being open and free. Kwamba kila kitu kipo wazi na kwamba hakuna ficheficheUtaruhusu je results zirushwe hewani kama hazijawa verified?
Wakikuta kuna kasoro who is to blame, media or IEBC
Baba Levo aliongea from experience na ingewezekana angeweka picha au video ya vile vitu Alina Kenya. If you ask Miguna to provide evidence of his claims will he? This guy is simply bitter because of his deportation. A person who spends the whole time hurling insults at the head of state in social media shouldn't be taken seriously. Yake ni mauchungu, nothing elseBut when Lisu, Baba Levo, Halima Mdee, Maria Sarungi and others give their opinions you take them seriously
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msaada ipi tumewaomba bongolala? Labda iwe ni ushauri wa jinsi ya kupotea na sanduku za kura
Indications zote zinaonesha ruto atafikisha zaida ya 50%. We must brace ourselves13.2m of 14.4m voters.
Hakuna MTU atafika 50%
Watu wote hasa wanasiasa wanaokosa uongozi halafu wakakimbilia nje ya nchi na kuanza kuzinanga serikali zao si wa kuwaamini maana wakipewa chances tena wanaanza kula matapishi yao.Baba Levo aliongea from experience na ingewezekana angeweka picha au video ya vile vitu Alina Kenya. If you ask Miguna to provide evidence of his claims will he? This guy is simply bitter because of his deportation. A person who spends the whole time hurling insults at the head of state in social media shouldn't be taken seriously. Yake ni mauchungu, nothing else
Nyinyi mnajua hadi majina za governors wetu and their deputies. Hata wabunge mnajua Karibu nusu yao 😃Unajisifia kwa kutojua Mambo?, Huo ni ujinga wako, lakini Nina uhakika mnawajua wanamziki wote wa Tanzania, akiwemo baba Levo[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
😆😆😆 amedai eti esther passaris, angeenda sex holiday seychelles.. yani angeenda seychelles, mkuntjo, yani kupigwa tu miti na kurudi🍆🍑 1😋🤣🤣🤣🤣Miguna ni kitu mbaya. Kijamaa kina mdomo kubwa sana hata kushinda ya mwanamke. Throwback
Ndivyo unavyojiongopea hvyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyinyi mnajua hadi majina za governors wetu and their deputies. Hata wabunge mnajua Karibu nusu yao [emoji2]
Hahah mkuu mi sijawahi kumkosoa mtu yeyote hpa kwenye swala la lugha labda kama umeniquote vibaya..Sasa mbona Kenya wakikosea Kiswahili huwashangai?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app