Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,350
- 15,069
Masaki hiyo mdogo wangu, toka huko Ukonga uje ule bata siku moja mitaa hii, kuna club moja matata sana hapo juu, kuna jamaa yangu nilimleta hapo someday hakuamini kama yupo Bongo, akigeuka hivi muitaliano, mara kapita manzi wa kispanish, mara mchina mara Mjerumani, wahindi na waarabu ndio usiseme, bila kusahau ndugu zetu wa Kaskazini wanaokuja kushangaa bahari, a perfect picture of Tourists City, The Might Dar es Salaam.
Jinsi unavyokataliwa ndivyo unavyozidi kujipendekeza, kwa hiyo sehemu ikiwa na hao Wazungu na Wachina kwako ndiyo ufahari? Ungejua wakikuona tu wanaficha pochi wala usingeandika ulivyoandika.
Jithamini kwanza siyo lazima sehemu iwe na Wazungu ndiyo iwe ya maana, ukichukulia Wazungu wenyewe wanakudharau na wala hawakuthamini, ndiyo maana hata sasa hivi mnauza nchi kwa Waarabu na Wahindi sababu ya inferiority complex!

. Tafuta masela wanaondesha magari yenye namba kama hizi Txx CD xxx
mfano: 



