Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nahisi watakuwa wamekatazwa kwa sababu wanaleta mkanganyiko kwa wananchi,hii ndio maana baadhi ya viongozi Africa huwadhibu vyombo vya habari kwa uptoshaji kama huu kwa kisingizio cha freedom of press.
Umeongea kweli mkuu. Hata zile vurugu za 2007 vyombo vya habari vilichochea sana, Genocide Rwanda navyo pia radio zilichangia pakubwa.
 
Inategemea unatazama TV station gani. Kila TV inafanya hesabu kivyake. Wewe unatazama TV station gani?
Tony 254,umeona kwenye hii TV Station ya NTV Ruto yuko nyuma kwa kura 61,461.

Matokeo yako hivi ; Raila 6,322,792
Ruto 6,261,331
Amemkimbiza. Ngoja tusubiri hadi mwisho.
 
Mwenyewe nyumba ya chini anafaidi maisha sana maana ana private land space yake yeye mwenyewe anaweza akaitumia atakavyo kuliko yule anaekaa kwenye kiota gorofani hata pa kuanika nguo hana utakuta chupi na nguo nyingine zimeanikwa madirishani na gorofa lote unakuta limepambwa kwa chupi za kila rangi.
All modern cities are discouraging nyumba ya chini due to population management dar inajenga tu bila kujali what happens 50 years from now
 
Nahisi watakuwa wamekatazwa kwa sababu wanaleta mkanganyiko kwa wananchi,hii ndio maana baadhi ya viongozi Africa huwadhibu vyombo vya habari kwa uptoshaji kama huu kwa kisingizio cha freedom of press.
Hakuna upotoshaji wowote hapo kura zote ziliwekwa mtandaoni kila station inachagua mkoa upi wa kuanzia ndo maanake data haifanani lakini wakimaliza zote zitakua sawa
 
Nahisi watakuwa wamekatazwa kwa sababu wanaleta mkanganyiko kwa wananchi,hii ndio maana baadhi ya viongozi Africa huwadhibu vyombo vya habari kwa uptoshaji kama huu kwa kisingizio cha freedom of press.
Freedom of press ni muhimu sana now that everything is open hakuna atakaye Lia kaibiwa
 
Slums nilikuambia ni shida ya nchi tajiri huwezi elewa hayo maneno unadhani unaeza pata slums sehemu hakuna modern development ama unaeza pata slums Kijijini? So Wacha sisi Kam inchi tajiri tutatue Hilo shida polepole
Na kwnn basi huwa unatoa mambo ya huku unakwenda kulilia twitter
 
Mind you there are two four lanes bridges parallel to each other hence no need for 8 lanes bridge.
Those bridges are only in your dreams, otherwise tuma picha na uache porojo
FB_IMG_16598950302439380.jpg
 
Na sisi tunasema ni marafiki na ndg zetu lakini mbona gap ni kubwa sana? Au hatuwatumii ipasavyo?

Miradi yao kwao inaisha haraka ila wakija kwetu tunasukamana tu mpaka kutishia kuvunja mkataba.

Hili nalo tulitazame.
Mtu umempa mkataba hata hujamkabidhi site unataka 10% sasa huoni tatizo ni sisi wenyewe? Mkandarasi anapeleka certificate ya kudai malipo unamlipa kwa wakati wako huo mradi utakamilikaje kwa wakat
 
Duniani kote reli inajengwa na serikali. Wapi umeona reli ikijengwa na private sector? Nipe example. Hapa tunazungumzia real estate, yaani majengo hususan majengo marefu
BNSF ni private company.
100% ya skyscrapers zote above 20 floors (majengo yenye zaidi ya ghorofa 20) hapo Dar es Salaam yamejengwa na serikali ya Tanzania. Mmeshindwa kuvutia muwekezaji hata mmoja wa kujenga skyscraper hata moja hapo Tanzania halafu bado mnataka kushindana na sisi?
Siyo kweli.
 
Tony 254,umeona kwenye hii TV Station ya NTV Ruto yuko nyuma kwa kura 61,461.

Matokeo yako hivi ; Raila 6,322,792
Ruto 6,261,331
Amemkimbiza. Ngoja tusubiri hadi mwisho.

Ingependeza sana vyombo vya habari kama wangekuwa wanachukua matokeo sehemu moja hii ya kila tv kuwa na matokeo yake tofauti haina afya kabisa.
 
Naona Mkalee roho inakuuma ukiona Jaluo anakwenda kuchukua nchi
Am not a Kalenjin, but I love Kalenjins with their laid back characteristics despite being wealthy, I support Blue(Baba and Martha) nonetheless, for integrity, economy and infrastructural development..,
 
Niliwaambia nyinyi ndo muende shambani mzalishe vyakula sisi tuna Hela za kuvinunua shida Iko wapi hapo Tena? Inchi yenyu Ina rotubaa nzuri kwa hivo chimbeni sisi tununue maneno ya njaa imetoka wapi?
Hahaha
 
Back
Top Bottom