Sawa mkuu..Bado tunangoja.., tatizo sides zote nikama wako sure they will win..,Team Blue wanaona wanashinda na wale wa yellow pia wanaona wanashinda, wote wamejitayarisha kuhutubia wafuasi wao.., huku ni macho tu kwa sasa..,
View attachment 2321091
View attachment 2321093
Inamaana TVs ndio zinatoa matokeo na sio tume 😂😂😂😂Inategemea unatazama TV station gani. Kila TV inafanya hesabu kivyake. Wewe unatazama TV station gani?
Huyo mbwia ugoro kwn naye ni mwanasiasa?Sawa mkuu..
Ila inaonekana mna chukua... Uwe unakuja base hapa JF kututembelea. Sio ukishapewa nafasi unatoroka jumla.
Eti mna hela 😁😁😁😁Niliwaambia nyinyi ndo muende shambani mzalishe vyakula sisi tuna Hela za kuvinunua shida Iko wapi hapo Tena? Inchi yenyu Ina rotubaa nzuri kwa hivo chimbeni sisi tununue maneno ya njaa imetoka wapi?
Kwani hujui kinachoendelea wewe?Inamaana TVs ndio zinatoa matokeo na sio tume 😂😂😂😂
Najulia wapi?Kwani hujui kinachoendelea wewe?
ficha umbumbumbu mshikaji unafikiri uchaguzi wa Kisukumagang?Inamaana TVs ndio zinatoa matokeo na sio tume 😂😂😂😂
Yeah ...the media will call it before IEBC. IEBC have 7 days per the constitution....hao hawana harakaInamaana TVs ndio zinatoa matokeo na sio tume 😂😂😂😂
Kwani hujui?
Ana unasaba na mgombea mmojawapo. Tena udugu wa karibu kabisa.Huyo mbwia ugoro kwn naye ni mwanasiasa?
Ni kweli 10% inasumbua na kuyumbisha miradi mingi sana, mbaya zaidi unakuta hata aliye juu ndio anaanza kupiga kwahiyo hata wa chini nao wanakula kwa urefu wa kamba yao.Nani amfunge Paka kengele?Mtu umempa mkataba hata hujamkabidhi site unataka 10% sasa huoni tatizo ni sisi wenyewe? Mkandarasi anapeleka certificate ya kudai malipo unamlipa kwa wakati wako huo mradi utakamilikaje kwa wakat
Kutoa ujumbe kwa serikali zetu. Kufunzana baadhi ya mambo kadha wa kadha, kuondoleana stress sometimes ,kujulishana mambo yaliyoko Tanzania na Kenya.
Matokeo yakitofautiana inaweza kuleta vurugu na sintofahamu kwa wafuasi wa wagombea.Ingependeza sana vyombo vya habari kama wangekuwa wanachukua matokeo sehemu moja hii ya kila tv kuwa na matokeo yake tofauti haina afya kabisa.
This time round we are mature...no violence whoever wins (IEBC) we shall acceptMatokeo yakitofautiana inaweza kuleta vurugu na sintofahamu kwa wafuasi wa wagombea.
Ni kweli aisee anakibonga kiswahili kuzidi hata baadhi ya Watanzania wanaoishi vijijini.Mchina akibonga Kiswahili hawezi kutamka R ila anaeleweka vizuri sana!
Bado hatukati tamaaHii mbugi Ruto anashinda.
Watu wa Odinga msipanick
View attachment 2321034
Asee, lazima kinuke.. kila mtu anajiandaaView attachment 2321052



Kipaji chake alichonacho na nchi aliyopo. Hivyo tu viwili vinamfanya awe tajiri mkubwa.mi nashindwa mtoto mdogo kama huyu, alifanya aje hadi kuunda hela nyingi kama hio!.
eti $1.7B.! richer than any east african!
mi naona nikama mungu ako na mapendeleo flani. anabagua watu..
kwani huyu mwanadada anatia bidii gani ambayo mimi si tii kila kukicha!. mbona yeye tajiri sana, mimi maskini..!!?
View attachment 2321057View attachment 2321045View attachment 2321046View attachment 2321048View attachment 2321049View attachment 2321050View attachment 2321044View attachment 2321054View attachment 2321055View attachment 2321056View attachment 2321058
Kwa kweli mavazi yake hata mimi siyaelawagi,anatafuta kuonekana au kujitofautisha na wengine maana kama ni fashion sionagi wengine wakimuiga.Grand mopao anavaa nn sasa?
![]()