Hivi Tony254 tuambie I, kwanini wakenya mko hivi?, Hili tatizo la kuporomoka kwa majengo hapo Kenya, limedumu kwa zaidi ya miaka 20 Sasa, hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kulimaliza, au hata hili pia mnahitaji wazungu au wachina kuja kuwasaidia?.
Rushwa, slums, crime, njaa, tribalism na hili la kuporomoka kwa majumba, nalo pia mnataka kulifanya kuwa ni miongoni mwa matatizo yaliyoshindikana kutatuliwa hapo Kenya?. Kweli Kenya mnatusikitisha Sana.
Tony254
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app