Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeye huyu aliyesema kura ziliibiwa na CCM, ghafla akageuka akasema Chadema ni Chama cha wahuni, viongozi wake ni wahuni.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wanasiasa wengi huwa wanasahau madudu yao wakiguswa kidogo tu wanaanza kupayuka. Hapo usikute CCM wameshamtext kuwa akamuone Tulia ana jambo na yeye, anahaha tu
 
Wanasiasa wengi huwa wanasahau madudu yao wakiguswa kidogo tu wanaanza kupayuka. Hapo usikute CCM wameshamtext kuwa akamuone Tulia ana jambo na yeye, anahaha tu
Wala hajaguswa na mtu yeyote, hawa ni wachumia tumbo, ni wanasiasa maslahi, wakiwa sehemu yenye maslahi, watasifia kwa nyimbo na mapambio, wapo tayari kusema lolote ili kulinda maslahi yake, maslahi yakimalizika atawageuka na kuwadhalilisha Kama mbwa, mfano mzuri ni Sonko huko Kenya, hawa sio watu wa kuwasikiliza hata kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani Kama kutatokea run-off. Kwa jinsi ya kura zinavyokwenda, lazima mshindi atapatikana. Mara nyingi run - off hutokea Kama Kuna mgombea wa tatu mwenye nguvu anayepata kura nyingi, hivyo kumfanya mshindi wa kwanza kutofikisha 50%+1

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hao number 3 na 4 wana jumla ya 0.63% ya kura. If margins are tight it can lead to a run-off.
 
Si bado mzee matokeo hayajatoka yote?

In fact nilikuwa nasherehesha maana kauli hii mliileta nyinyi, na nikawauliza kwanini alimwambia hivyo, hamkunijibu.

Cha kushangaza umenigeuka tena wakati ulicoment kwa aliye ileta (dopchinsk),una usahaulifu sana baba.

Hukunielewa.
Nilimuambia Dopchinski kwamba Raila au Ruto anaweza kushinda. Soma comment yangu. Wewe ndio ulikwamia kauli kwamba Raila hawezi kushinda kwa sababu ya matamshi ambayo sidhani kama ni ya kweli.
 
Hivi Tony254 tuambie I, kwanini wakenya mko hivi?, Hili tatizo la kuporomoka kwa majengo hapo Kenya, limedumu kwa zaidi ya miaka 20 Sasa, hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kulimaliza, au hata hili pia mnahitaji wazungu au wachina kuja kuwasaidia?.

Rushwa, slums, crime, njaa, tribalism na hili la kuporomoka kwa majumba, nalo pia mnataka kulifanya kuwa ni miongoni mwa matatizo yaliyoshindikana kutatuliwa hapo Kenya?. Kweli Kenya mnatusikitisha Sana.
Tony254
Don YF
Nicxie

Uwe na adabu wakati unazungumza kuhusu superpower wa ukanda huu.
 
Back
Top Bottom