Una kingine cha kubisha? Unafananishaje Aga Khan taasisi binafsi na AICC taasisi iliyo chini ya MoFA? Kiufupi Mwendazake alikuwa mtu wa ajabu sana, kusimamisha huu mradi umeiondoa Arusha kwenye radar ya conference tourism!
Unajuaje kwamba kutakuwa na run-off?
Tunathamini vyote, both skyscrapers na Kilimo na viwanda ndio maana tumewashinda vyote - labda Kilimo kidogo mtatuhemesha kisa mna ardhi Kubwa Zaidi yenye mvua Ila viwanda hamtufikii hata kwota. Mada yangu ni kwamba huwa mnaleta mjadala halafu mkishashindwa mnasema vile kinachojadiliwa hakina maana ilhali ni nyinyi ambao mmeleta huo mjadala.Kwahiyo kwasababu ninyi mnathamini skyscrapers na sisi tunathamini kilimo na viwanda, nani amemshinda mwenzake?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Punguza uropokaji. Hebu washa runinga yako uone nani yuko mbele.Kama.baba yake alishasema hawezi kushinda wafuasi wake ni akina nani wapinge kauli ya mzee.
Wakati mwingine kauli za wazee ni sheria.
Kwanza aliyeleta mada ya kwamba Tanzania skyscrapers zinajengwa na serikali na sio private sectors ni Tony254 kutaka kuonyesha kwamba kile kinachofanyika Kenya ni sahihi na kinachofanyika Tanzania sio sahihi.Tunathamini vyote, both skyscrapers na Kilimo na viwanda ndio maana tumewashinda vyote - labda Kilimo kidogo mtatuhemesha kisa mna ardhi Kubwa Zaidi yenye mvua Ila viwanda hamtufikii hata kwota. Mada yangu ni kwamba huwa mnaleta mjadala halafu mkishashindwa mnasema vile kinachojadiliwa hakina maana ilhali ni nyinyi ambao mmeleta huo mjadala.



Yeye huyu aliyesema kura ziliibiwa na CCM, ghafla akageuka akasema Chadema ni Chama cha wahuni, viongozi wake ni wahuni.
If you believe Tanzania has more industries than Kenya then I'm not going to waste my time engaging you.🚮🚮Kwanza aliyeleta mada ya kwamba Tanzania skyscrapers zinajengwa na serikali na sio private sectors ni Tony254 kutaka kuonyesha kwamba kile kinachofanyika Kenya ni sahihi na kinachofanyika Tanzania sio sahihi.
Kuhusu viwanda, Kenya tumewazidi Sana katika Kilimo, utalii, viwanda na construction sector, Kama unabisha tuanze kuweka data, chagua tuanze sector gani?, tulinganishe thamani ya uwekezaji katika kila sector
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Next time, you must think before arguing, wishing you all the best.If you believe Tanzania has more industries than Kenya then I'm not going to waste my time engaging you.![]()
Sidhani Kama kutatokea run-off. Kwa jinsi ya kura zinavyokwenda, lazima mshindi atapatikana. Mara nyingi run - off hutokea Kama Kuna mgombea wa tatu mwenye nguvu anayepata kura nyingi, hivyo kumfanya mshindi wa kwanza kutofikisha 50%+1Kwa bahati mbaya ikiwa kutatokea run-off, hii ndio itakuwa run-off ya kwanza kuwahi kutokea ukanda wetu wa East Africa.
I'm not arguing, I'm letting a fool believe his foolishness.🚮🚮Next time, you must think before arguing, wishing you all the best.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Si bado mzee matokeo hayajatoka yote?Punguza uropokaji. Hebu washa runinga yako uone nani yuko mbele.
You idiot you don't need belief in something you can see and touch, hamna viwanda kuzidi Tanzania hii sio imani ni uhalisia sababu viwanda vipo vinaonekana, nitajie kiwanda kisichopo Tanzania kunyaland mnacho!If you believe Tanzania has more industries than Kenya then I'm not going to waste my time engaging you.🚮🚮