Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie muna cable stayed bridge ??😂😂 wewe unazungumza nn

Bridge yenyewe 200+ meters unapiga kelele muda wote humu 😂😂😂
Kama unataka ninyamaze basi niletee bridge yoyote Tanzania yenye leni nane.
 
MV Mwanza doesn't make sense economically, do you know MV Uhuru will be transporting 2 million liters of fuel to Uganda per trip? Guess itakuwa inatengeneza pesa ngapi.
Wewe mwehu ndio maana hua nakwambia tanzania haikurupuki kbisa na haina haraka

Meli za mizigo zitajengwa mbili mwanza baada ya mv mwanza hapa kazi tu na lengo kubwa la mv mwanza ni abiria ambayo itasaidiana na mv victoria kwenda bukoba na uganda

Usifananishe meli inayobeba watu na meli inayobeba mzigo 😂😂😂😂
 
Who will travel to Uganda using a 30 knots means of transport na iache 80 -120km/h means of transport? Kubalini tu ati hapo kwa MV Mwanza mmepotea njia
 
A dormitory!🙄🙄

A very huge dormitory with metal beds🤔🤔

A shower enclosure looks cheap and very ordinary with no bath tub.🙄🤔

Cheap stove and cheap refrigerator in the kitchen🙄🙄

Nyie bado washamba sana na wengi wenu mnaishi maisha ya shida mno kiasi cha kupost maisha flani ya wafuga Bata!😁

Nyie ni wafuga Bata!
Huyu jamaa REAL Comrade Kipepe ni mjinga sana. You are the most stupid person in this thread. Very primitive and shallow minded. Hio nyumba ni kali sana na huna hata aibu kuongea upumbavu humu. This is a high quality house and those people are living a high quality life. Wewe unachoweza ni kuwatukana but in reality you are living a much more inferior and destitute life than them. dyfre ignore some of these fools.
 
1200km my friend bado tu huogopi😂😂

Dsm to morogoro 300km = 96%
Morogoro to makutopora singida 422km = 80%
Mwanza to isaka 340km = 23%
Makutopora to tabora = 15%
Isaka to tabora = 10%
Hata huna aibu kuniambia ati yangu 2017 Bado hamjamaliza kujengwa reli ya 300 meters. If it's not laziness then what is it?
 
Who will travel to Uganda using a 30 knots means of transport na iache 80 -120km/h means of transport? Kubalini tu ati hapo kwa MV Mwanza mmepotea njia
Ushaanza kulia sasa 😂😂😂 sisi tunajenga kwa ajili ya kutoa huduma ya abiria zaidi alaf za mzigo zitafuata sasa infact mv umoja inabeba mabehewa 22 kwenda uganda na inafanya kzi

Wewe unaumia wapi ??😀😀😀
 
Hata huna aibu kuniambia ati yangu 2017 Bado hamjamaliza kujengwa reli ya 300 meters. If it's not laziness then what is it?
Sisi tunataka kitu bora zaidi ambacho tutasafiri umbali mrefu sana kutoka dsm mpaka mwanza is not a joke mzee 😂😂

Kama unaumia sana nenda chooni kaharishe kwanza 😀😀😀
 
Hata huna aibu kuniambia ati yangu 2017 Bado hamjamaliza kujengwa reli ya 300 meters. If it's not laziness then what is it?
👇👇👇👇👇👇
1200km my friend bado tu huogopi😂😂

Dsm to morogoro 300km = 96%
Morogoro to makutopora singida 422km = 80%
Mwanza to isaka 340km = 23%
Makutopora to tabora = 15%
Isaka to tabora = 10%
 
Hata huna aibu kuniambia ati yangu 2017 Bado hamjamaliza kujengwa reli ya 300 meters. If it's not laziness then what is it?
Dar-Moro ni 200 kilometres. Na imewashinda kumaliza. Deadline was November 2019. Ukiwaita Lazy wanakasirika.
 
Sisi tunazungumzia upana, there's no bridge in Tanzania with 8 lanes 😂😂
Na sisi tunazungumzia urefu achilia upana 😂

Huwez kusikia hata siku moja madaraja yanashindanishwa kwa upana bali ni urefu tu👇👇👇

Dar-Moro ni 200 kilometres. Na imewashinda kumaliza. Deadline was November 2019. Ukiwaita Lazy wanakasirika.
Imetushinda vp wakat tunajenga 1200km hvi ww akili iko sawa kweli 😂😂😂😂

1200km my friend bado tu huogopi😂😂

Dsm to morogoro 300km = 96%
Morogoro to makutopora singida 422km = 80%
Mwanza to isaka 340km = 23%
Makutopora to tabora = 15%
Isaka to tabora = 10%
 
Mtu anafananisha meli ya abiria na mzigo 😂😂😂😂 kichwa cha mwendawazimu
Acha kukwepa mada, naongelea shipyard wewe tumbili. Angalia vile shipyard ya Mwanza ni vumbi tupu alafu ulinganishe na ya Kisumu which is paved everywhere.
 
Acha kukwepa mada, naongelea shipyard wewe tumbili. Angalia vile shipyard ya Mwanza ni vumbi tupu alafu ulinganishe na ya Kisumu which is paved everywhere.
Usiwah fananisha meli ya abiria na meli ya binaadamu bro hzo ni mada mbili tofaut 😂😂😂

Hebu itazame alaf nambia unaumia kutokea wapi😂😂😂

C710207D-C617-42C8-ACE9-F388B9B089A3.jpeg
759F3178-7E46-4941-975D-317E43CBCEA8.jpeg
 
Back
Top Bottom