Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don't take it personal.

Huo upungufu wa chakula ndio ufanye tulishwe madudu yasiyo na nutrients sahihi? Au unapenda tunapopata magonjwa ya ajabu ajabu ili sekta ya afya iwe na uhakika wa ajira?
GMO has so many benefits. GMO organisms are nutritionally sufficient just like natural organisms. The only concern with GMO is their instability and this issue has been overcomed so many times.
 
GMO has so many benefits. GMO organisms are nutritionally sufficient as compared to natural organisms. The only concern with GMO is their instability and this issue has been overcomed so many times.
Bring the facts that genetically engineered plants or animals have more nutrients! R nutrient sources produced in laboratories or extracted from the environment!

Ficha ujinga kwa usichojua Kunyaland mnatumia GMO seeds na bado mna njaa as mko dependent kwa seeds companies as once maize is grown the seeds can not germinate again!
 
Watanzania tuambiane ukweli. Nampenda Magufuli lakini ukweli wa mambo ni kwamba Magufuli aliiba uchaguzi wa 2020.
We mtanzania?, halafu Tanzania ni kubwa sana wanasiasa wa upinzani wanabase sana kwenye town kubwa kubwa . Huko remote vijijini ndiko ccm wanakoshinda. Kuna watu wanapenda tu chama huko vijijini hawaangalii sera wala nini? Upinzani inabidi wafanye kazi kwenda interior although late magu alizuia siasa baada ya uchaguzi ikawa pigo kwao

Hata mzee lowasa alivyoenda chadema (ukawa) aliwaambia siasa sio miji mikubwa wanatakiwa kwenda vijiji huko haswa huko remote area

Zile hotuba za magu za jumapili nadhani hata huko kenya mlikua mnasikliza maana alikua akienda church anatoa speech zilikua maarufu all over the world , jamaa akisikilizwa na wanaopenda na wasiompenda

Kubwa katuachia uthubutu watu wote haswa waafrika nothing impossible . Apumzike kwa amani . Kwa binadamu hakuna mkamilifu
 
Don't take it personal.

Huo upungufu wa chakula ndio ufanye tulishwe madudu yasiyo na nutrients sahihi? Au unapenda tunapopata magonjwa ya ajabu ajabu ili sekta ya afya iwe na uhakika wa ajira?
You can't claim GMOs are bad yet you are eating genetically modified chicken almost on a daily basis and not forgetting their eggs as well.
 
Bring the facts that genetically engineered plants or animals have more nutrients! R nutrient sources produced in laboratories or extracted from the environment!

Ficha ujinga kwa usichojua Kunyaland mnatumia GMO seeds na bado mna njaa as mko dependent kwa seeds companies as once maize is grown the seeds can not germinate again!
Nyamaza, what do you know about genetic engineering?
 
Sina uadui na GMO ila ni matatizo yake kiafya. Nchi walizotengeneza hizo tekinolojia wameanza kuzikataa, na ni baada ya watu kuanza kupata uelewa na kulalamikia viongozi wao vyakula wanavyolishwa.

Sasa wameweka sheria kulazimisha makampuni ya vyakula kuweka lebo ili watu wajue kama hivyo vyakula vina GMO au laa. Wameanza kuona wanabanwa sasa wameanza kuwaletea hayo masumu wakati kwao wanayakataa, joto la jiwe acha ulimbukeni.


View attachment 2315754

View attachment 2315745View attachment 2315746View attachment 2315747View attachment 2315748
Umeongea ukweli, na siku hizi wameamka kweli vitu organic vina bei kubwa lakini ndio vinanunuliwa sana
 
Mmmh!

[mention]Joto la jiwe [/mention] hii imekaaje?
Acha aongee ukweli najua mtahitaji justification, Uganda wanaongozwa na dictator M7 miaka chungu mzima ni yeye tu ndio anajiona anaweza kua raisi, Ethiopia civil wars,S.Sudan failed state,Somalia terrorism backyard lol ofcz you can't compare kenya na hao jamaa
 
Back
Top Bottom