Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Acha aongee ukweli najua mtahitaji justification, Uganda wanaongozwa na dictator M7 miaka chungu mzima ni yeye tu ndio anajiona anaweza kua raisi, Ethiopia civil wars,S.Sudan failed state,Somalia terrorism backyard lol ofcz you can't compare kenya na hao jamaa
Kama anayapenda hayo madude imenisikistisha, kwasababu jamaa yuko poa sana na anafaa kuja kuwa Rais wetu baadae.GMO ndio tatizo pekee alilonalo Bashe
Nikuendelezee video huone namna wanaenda kwenye maporomoko ambayo kdf awezi kupona hata mmojahuku wanapishana na mamba


Hehehehe now huitaji tena Mombasa mbele ya Dar bali ni Dar vs East Africa and Central Africa, na ndiyo nilitaka uone kwamba Dar ili uiweze inabidi ulete Africa Mashariki na Kati, asante kwa ku prove nilichokiwaza so next time uwe na adabu kwa DarThere's no need of replying a madman cause you are one.
Who told you Kenya has no footbridge with an elevator?![]()
Who told you Kenya has no cable stayed bridge? For your information, hata Uganda wako nayo.
The biggest airport in East and Central Africa is Bole international airport in Addis Ababa with a capacity of 25M PAX.
Ebu tuoneshe hiyo cruise ship ya Dar tucheke kidogo
Kenya and Ethiopia has a functioning SGR. Tanzania has nothing.












Hamna lolote, pembeni yake kdg kuna mauchafu kama chooni







Hatuwezi kukaa hapa tunaongelea ka footbridge kenye metre 450 haya ni matumizi mabaya ya akili.Kwa wale wanaopinga hii sio Makupa Bridge. Angalia picha mbili part ambayo nimecircle na pink.
View attachment 2315601View attachment 2315602
Cc Geza Ulole
We jamaa fala kweli, shabaha hiyo, utawezaje kujiita soldier huwezi kulenga shabaha?Huu ni upuuzi mtupu. Aki walahi.
Mnapoteza muda wenu kumuelewesha kichaa anaejifanya anajua Tanzania kupitia mitandao.We mtanzania?, halafu Tanzania ni kubwa sana wanasiasa wa upinzani wanabase sana kwenye town kubwa kubwa . Huko remote vijijini ndiko ccm wanakoshinda. Kuna watu wanapenda tu chama huko vijijini hawaangalii sera wala nini? Upinzani inabidi wafanye kazi kwenda interior although late magu alizuia siasa baada ya uchaguzi ikawa pigo kwao
Hata mzee lowasa alivyoenda chadema (ukawa) aliwaambia siasa sio miji mikubwa wanatakiwa kwenda vijiji huko haswa huko remote area
Zile hotuba za magu za jumapili nadhani hata huko kenya mlikua mnasikliza maana alikua akienda church anatoa speech zilikua maarufu all over the world , jamaa akisikilizwa na wanaopenda na wasiompenda
Kubwa katuachia uthubutu watu wote haswa waafrika nothing impossible . Apumzike kwa amani . Kwa binadamu hakuna mkamilifu
Karani wa uchaguzi 😄😄😄😄
Tafadhali naomba unielezee uzuri wa GMO kama hutojali.Kwani wewe GMOs unazichukuliaje?, Kama huzipendi ni wewe kwa upande wako
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yani kwa mtazamo wako huu siwezi kujadili nawe hii mada,hatutafuti ushindi hapaAnatoaje kibanzi kwa majirani wakate kwake kuna bonge na boriti?
Kwani ni wapi iliandikwa kuwa ni marufuku M7 kuongoza miaka chungu mzima.
Hizo nchi unazotaja umesahau kuwa hata hiyo Kenya ni failed state?
Siku si nyingi ataanza kutetea ushogaSitashangaa kama analipwa na "NGO" fulani, maana anatetea sana GMOs, chanjo za mRNA na Bill Gates. Unaweza kuunganisha nukta hapo.
Tayari ATCL imepokonya abiria wa KQ wanaoenda routes za ATCL.Endeleeni kununua ndege kwa wingi kwanza in cash. Mimi nangoja tu kilio na kusaga meno kutoka kwenu. Mnapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama kununua ndege in cash ili tu kucompete na KQ. Mtaumia sana. Mark my words. Mtatengeneza losses hadi mshangae. Hii industry haitaki nyege na kimbele mbele.


green shit in the sunHahaha halafu Watanzania wanajifanya hawajaona hii tweet yako.
Anataka watu waanze kuishi kwa kunywa midawa kila siku kama wenzetu wafanyavyo, mimi hata matumizi ya mbolea za kisasa siyapendi basi tu,Don't take it personal.
Huo upungufu wa chakula ndio ufanye tulishwe madudu yasiyo na nutrients sahihi? Au unapenda tunapopata magonjwa ya ajabu ajabu ili sekta ya afya iwe na uhakika wa ajira?
We cannot trouble ourselves to compete with a company that owns 3 planes that will be insane. Tafuta kingine tafadhali.Endeleeni kununua ndege kwa wingi kwanza in cash. Mimi nangoja tu kilio na kusaga meno kutoka kwenu. Mnapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama kununua ndege in cash ili tu kucompete na KQ. Mtaumia sana. Mark my words. Mtatengeneza losses hadi mshangae. Hii industry haitaki nyege na kimbele mbele.