Sometimes, mtu akiwa smart eneo flan haimaanishi akiongezewa cheo zaid atakuwa smart zaid.. Tanzania sijui tunakwamaga wap kwenye hili, yan mtu akionekana kafanya vizur bas mnampeleka sehem nyingine, na akipelekwa huko kwengine anatumbuliwa..
Mfano mdogo, yule jamaa wa mambo ya Meli, Mr Eric.. alikuwa vizur sana sana huko, kapelekwa kuwa MD wa TPA katumbuliwa juzi, na wengine tu..
Hapo kwa wizara ya kilimo nataka huyu Bashe awe wazir wa kilimo kwa zaid ya miaka 10, nakumbuka niliwah kusema hili..awe wazir wa kilimo at least 10 yrs
Nashauri, mtu akiwa smart eneo flan mweken hapohapo kwa miaka mingi zaid, hizo positions nyingine watafuten watu wengine na sio kuwaondoa hawa wanaofanya vizur na kuwapeleka huko kwengine