Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endeleeni kununua ndege kwa wingi kwanza in cash. Mimi nangoja tu kilio na kusaga meno kutoka kwenu. Mnapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama kununua ndege in cash ili tu kucompete na KQ. Mtaumia sana. Mark my words. Mtatengeneza losses hadi mshangae. Hii industry haitaki nyege na kimbele mbele.
We are smarter than you Kunyans, how can we compete with sick KQ which is in ICU?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
GMO ni sayansi Kama ilivyo sayansi zingine, imekua ikitumika kwa muda mrefu katika maeneo mbalimbali.

Genetic Engineering imekua ikitumika katika eneo la "Medicine kutengeneza chanjo mbalimbali na baadhi ya dawa ambazo binadamu na wanyama tumekua tukizitumia, mbona huko husemi Kuna shida?

Duniani tumekua tukitumia mbolea za viwandani ili kurutubisha ardhi kwa ambazo mara nyingi hubadili asili ya udongo wa asili. Dunia kwa muda mrefu tumekua tukitumia dawa za kuulia wadudu katika mimea mashambani, mbona tusizikatae?

Mkuu, hizi research zinafanywa na wasomi wa hali ya juu Sana duniani, lengo lake kuu ni kuboresha maisha na kupata maendeleo ili kutoa hali ya chini na kuwa na hali Bora ya maisha.

Afrika tunabaki nyuma kwa sababu ya kutotoa umuhimu na kuwekeza katika researches, hata research chache zinazofanyika Afrika, viongozi hawapendi kuzitumia kutokana na sababu nyingi, mojawapo ni Imani Kama hizo zako.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nimekuonesha picha za bidhaa za supermaket nilizonunua mwenyewe na kukuelezea siku hizi makampuni yanalazimishwa na the united states department of agriculture (USDA) kuweka lebo kutahadharisha walaji kama vyakula vina GMO, halafu wewe bado unaleta ujuaji.
 
Sina uadui na GMO ila ni matatizo yake kiafya. Nchi walizotengeneza hizo tekinolojia wameanza kuzikataa, na ni baada ya watu kuanza kupata uelewa na kulalamikia viongozi wao vyakula wanavyolishwa.

Sasa wameweka sheria kulazimisha makampuni ya vyakula kuweka lebo ili watu wajue kama hivyo vyakula vina GMO au laa. Wameanza kuona wanabanwa sasa wameanza kuwaletea hayo masumu wakati kwao wanayakataa, joto la jiwe acha ulimbukeni.

View attachment 2315754

View attachment 2315745View attachment 2315746View attachment 2315747View attachment 2315748
@Chamoto hivi kweli wewe ni msomi?. Hakuna popote pale ambako imethibitika kisayansi kwamba vyakula vya GMO vina matatizo, Kama upo na "reputable and approved research results" zinazothibitisha tafadhali tuwekee tuone.

Tatizo ni kwamba Kuna baadhi ya watu katika nchi mbalimbali Kama wewe ambao walionyesha wasiwasi duniani na kuzikataa kwa kutumia maneno ya mitaani, na kwasababu ni hiari kwa watu kutumia au kutotumia, ndio wakawa wanaweka "label" kwa wanaopenda.

Mkuu, hapa Tanzania ni Sheria kwa wanaouza Nyama ya nguruwe "pigs" kuweka maandishi kuonyesha kwamba hiyo Nyama ni nguruwe katika Hotel, butcher, au Supermarket, hiyo Haina maana kwamba Nyama hiyo ni hatari, japo hao wasiokula "pigs" kwa Imani zao wanasema kwamba Nyama ya nguruwe ipo na madhara kiafya bila hata kutoa ushahidi wa kisayansi, wewe unaliamini Hilo?.

Sayansi imethibitisha kuwepo na madhara katika sigara na tahadhari imewekwa katika kila pakiti ya sigara, mbona bado tunalima na kuvuta sigara, vivyo hivyo katika pombe?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuonesha picha za bidhaa za supermaket nilizonunua mwenyewe na kukuelezea siki hizi makampuni yanalazimishwa na the united states department of agriculture (USDA) kuweka lebo kutahadharisha walaji kama vyakula vina GMO, halafu wewe bado unaleta ujuaji.
Tofautisha Kati ya "labelling' na "warning". Hakuna hata "label" Moja inayoonyesha kwamba "GMOs products are not good or dangerous to your health.

Hivi kweli Kama Kuna matatizo makubwa katika "GMOs" wangeziruhusu ziuzwe katika hizo Supermarkets?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tofautisha Kati ya "labelling' na "warning". Hakuna hata "label" Moja inayoonyesha kwamba "GMOs products are not good or dangerous to your health.

Hivi kweli Kama Kuna matatizo makubwa katika "GMOs" wangeziruhusu ziuzwe katika hizo Supermarkets?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Aisee kati ya vitu vya kutetea umeamua kutetea GMO ? Kwa hiyo vikiruhusiwa supermarket ndiyo havina madhara? Unaijua serikali ya Marekani vizuri?
 
Mbona huwaambii hapa ni 30 kilometers from CBD na ni concrete road hiyo ambapo kunyaland yote hawana concrete road hata milimita 2 halafu bado tunabishana nao kuhusu miundombinu hapa!

View attachment 2315519
Huna aibu coming here to post this shitty thing while sahii sisi we started having dual carriages Hadi kwa villages hehe nkt! I wish ungejua vile unajiambisha
 
Aisee kati ya vitu vya kutetea umeamua kutetea GMO ? Kwa hiyo vikiruhusiwa supermarket ndiyo havina madhara? Unaijua serikali ya Marekani vizuri?
Ninachotaka ni ushahidi wa kisayansi ambao umethibitisha pasipo shaka kwamba GMOs products Zina madhara kwa Afya za watumiaji.

Nchi yoyote duniani Kuna mamlaka zenye kudhibiti ubora wa vyakula na bidhaa zingine, kila ambacho kinauzwa hadharani lazima kiwe kimepitishwa na mamlaka husika.

GMOs products zinauzwa duniani kote, sio Marekani pekee, sio rahisi kwamba katika hizo nchi zote hizo mamlaka za kudhibiti ubora zimenunuliwa au hazijali Afya za watu wao.

Kama Kuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha madhara ya GMOs tafadhali tusaidieni ili tujifunze, ndio maana halisi ya JF.
Chamoto

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
@Chamoto hivi kweli wewe ni msomi?. Hakuna popote pale ambako imethibitika kisayansi kwamba vyakula vya GMO vina matatizo, Kama upo na "reputable and approved research results" zinazothibitisha tafadhali tuwekee tuone.

Tatizo ni kwamba Kuna baadhi ya watu katika nchi mbalimbali Kama wewe ambao walionyesha wasiwasi duniani na kuzikataa kwa kutumia maneno ya mitaani, na kwasababu ni hiari kwa watu kutumia au kutotumia, ndio wakawa wanaweka "label" kwa wanaopenda.

Mkuu, hapa Tanzania ni Sheria kwa wanaouza Nyama ya nguruwe "pigs" kuweka maandishi kuonyesha kwamba hiyo Nyama ni nguruwe katika Hotel, butcher, au Supermarket, hiyo Haina maana kwamba Nyama hiyo ni hatari, japo hao wasiokula "pigs" kwa Imani zao wanasema kwamba Nyama ya nguruwe ipo na madhara kiafya bila hata kutoa ushahidi wa kisayansi, wewe unaliamini Hilo?.

Sayansi imethibitisha kuwepo na madhara katika sigara na tahadhari imewekwa katika kila pakiti ya sigara, mbona bado tunalima na kuvuta sigara, vivyo hivyo katika pombe?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimea ina combinations za hydrocarbons, na kiasili hizi zinajulikana miundo yake. Ukiweka tonge mdomoni, mwili unaanza kuhisi aina ya chakula na kuanza kutengeneza mimeng'enyo kwa ajili ya chakula hicho. Hii ni kwasababu teyari mwili unafahamu kiasili chakula hicho kina chain ya aina gani ya hydrocarbons.

Sasa, unapofanya genetic engineering kwenye mahindi, unakuwa unatatua tatizo moja, mfano kuweza kuzalisha mahindi mengi kwa muda mfupi, lakini kwa kufanya hivyo, unakuwa umetengeneza chain tofauti za hydrocarbons ambazo hazipo kiasili.

Unapokula chakula hicho, mwili unashindwa kutengeneza enzymes sahihi ili kuweza kukivunja vunja. Matokeo yake mwili unakuwa na mabaki ya chembe chembe nyingi (free radicals) unazoshindwa kuzitoa. Na ndipo hapo tunaanza kupata matatizo chungu mzima kama diabetes, cancer, hormonal imbalance n.k
 
Mombasa ipambane na Goba kwanza View attachment 2315508
Kisumu inatoa Dar kamasi kwa residentials..,
1659769965260.png

1659769992440.png
 
So you needed them to drive on the left while there was a function happening there? Kama bado unadoubt here is another angle. If look at that white Bus utaona ni Mash Poa which is a bus plying Mombasa route.

View attachment 2315525
Hawa watu wako na wivu sana! Hawataki ikue ni Kenya.., na bado., hii project ni kubwa, we should post latest clips ya Dongo Kundu all the way past kwa Chomvu junction, Changamwe interchange to Makupa.., three level interchange with tunnels, Kenya on steroids 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Back
Top Bottom