Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Mbegu hizo na mimea yake zinaondoa uwiano wa asili kwenye eco system na ecology yake, na hii ni kwa viumbe wote toka single celled mpaka multicellular. Ni kweli zinaongeza faida kiuchumi lakini madhara yake ni makubwa sana hapo baadae (buttlerfly effect).Kwani wewe GMOs unazichukuliaje?,
Kwa nini nikae kimya wakati nchi yetu inaharibiwa kwa maslahi ya watu wachache?Kama huzipendi ni wewe kwa upande wako