Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaburundi hakajatushinda kwa chochote.
Talking about GDP; loans to GDP ratio of over 80% does not augur well for Kenya to be considered, also currency management in Kenya is way out of good practice, corruption index high, political uncertainties etc all these factors were not in your favour despite having the biggest economy at least on paper and well developed banking system.
 
Gari inayotesekewa hivyo sasa 😀😀😀
FY-jaZ_WQAEvoia.jpeg

Kama boflo 😀😀😀😀
FY5nJpUXgAAE-d7.jpeg
 
coodip1 The best 007 chongchung joto la jiwe

Mlikuwa mnasema kwamba Watanzania hawajali siasa za Kenya. Someni huu uzi umeshafika ukurasa wa pili.

Uzi huu pia umefikia kurasa wa pili

Halafu wapuuzi humu ndani walikuwa wanasema kwamba Watanzania hawafuatilii siasa za Kenya.
Hiyo ina represent proportion gani ya Watanzania? Could be Tanzanians living in Kenya or those who have their children in Kenyan schools.
 
For example ukiangalia the mens marathon, wakenya walioturepresent hawafall in the top 20 Kenya's fastest marathon runners this year

Most of our elite athletes wanachoose kukimbia races ziko na pesa na prestige. Kama Eliud kipchoge atakimbia berlin marathon this year where the winner anapata kama 30m(tsh 600m)
 
Kenya gdp $110B IS NOT EQUAL TO $133.66
Atleast uwe na Adabu

Tanzania gdp $67.77B
Uganda gdp $40B
Rwanda gdp $11B
Burundi gdp $2.9B
S.Sudan gdp $11.99B
We nae u update hizo data za Tz kwenye kichwa chako kila siku unaweka data mpya za Kenya ila za bongo unaenda na zile zile..

Latest GDP figure ya bongo ni $77B
 
For example ukiangalia the mens marathon, wakenya walioturepresent hawafall in the top 20 Kenya's fastest marathon runners this year

Most of our elite athletes wanachoose kukimbia races ziko na pesa na prestige. Kama Eliud kipchoge atakimbia berlin marathon this year where the winner anapata kama 30m(tsh 600m)
Ukishindwa kubali mzee ,vijisababu vyote hivyo ni vyanini.?
 
Yes it's a footbridge au unajifanya huoni the road below. It's even mentioned in the GTC towers construction description. Tunajua nyinyi ni washamba hamjazoea hizi vitu.
Footbridge Kenya ziko over 100 hata skybridges pia tunazo mob na hatupigi kelele za chura hapa.

View attachment 2309709
🤣🤣🤣 Baba usilazimishe vitu we jamaa those kinda bridges bongo pia zipo mingi tu .. Ila kitu kama hiki 👇
IMG_20220729_100718_305.jpg
hii ni footbridge enye Iko na lift haiunganishi tower mzaeee 🤣🤣 hii kitu ni ya kwanza EA na hakuna popote pale, kama ipo huko kwenu leta hapa.. vitu unaleta wewe ni kama hivi 👇
machinga-pic-data.jpg
21477eb83e2d7b37bbc4580f0bd7336e.jpg
and guess what, our footbridge is above four lanes road.. and as I'm talking to you right now chini hapo inajengwa BRT ..
 
Hizo footbridges zenye unapost wewe nairobae zipo hapa bongo way back .. hii hapa ni ARUSHA international conference center 👇
15646640509_3614d76e83_b.jpg
15830561071_c7aaa4fc9e_b.jpg
15646625179_3f3b053017_b.jpg
tena zipo tatu tatu kabisa sio moja kama hizo zenyu, hatuwahi Zi zungumzia hizi kwasababu sio big deal tumeshazizoea.. ila hii sasa 👇
IMG_20220729_100738_722.jpg
IMG_20220729_100718_305.jpg
hakuna kitu kama hiki uko kwenu
 
🤣🤣🤣 Baba usilazimishe vitu we jamaa those kinda bridges bongo pia zipo mingi tu .. Ila kitu kama hiki 👇View attachment 2309748hii ni footbridge enye Iko na lift haiunganishi tower mzaeee 🤣🤣 hii kitu ni ya kwanza EA na hakuna popote pale, kama ipo huko kwenu leta hapa.. vitu unaleta wewe ni kama hivi 👇View attachment 2309753View attachment 2309754and guess what, our footbridge is above four lanes road.. and as I'm talking to you right now chini hapo inajengwa BRT ..
Siwezi bishana na mtanzania about footbridges. Unataka kucomapre GTC na hio soko chafu umepost hapo. Hio soko hata lift haina.🤣🤣🤣 Dar has less than 10 footbridges. 🤣🤣🤣🤣 Unajua hata Pangani Girls a highschool in Nairobi ikona footbridge.
 
Hizo footbridges zenye unapost wewe nairobae zipo hapa bongo way back .. hii hapa ni ARUSHA international conference center 👇View attachment 2309772View attachment 2309773View attachment 2309774tena zipo tatu tatu kabisa sio moja kama hizo zenyu, hatuwahi Zi zungumzia hizi kwasababu sio big deal tumeshazizoea.. ila hii sasa 👇View attachment 2309781View attachment 2309782hakuna kitu kama hiki uko kwenu
Hio ya Arusha inavuka public road gani? Usiwe mjinga bana. 😂😂😂
 
Siwezi bishana na mtanzania about footbridges. Unataka kucomapre GTC na hio soko chafu umepost hapo. Hio soko hata lift haina.🤣🤣🤣 Dar has less than 10 footbridges. 🤣🤣🤣🤣 Unajua hata Pangani Girls a highschool in Nairobi ikona footbridge.
Kukuelezea kitu wewe ni kupoteza muda
 
yaani wakilipuana ni vita ya tatu ya dunia maana the US itabidi a-concentrate na China, Japan ataingilia pia upade wa the US wakati Europe itabidi washughulike na Russia peke yao! Mitaa ya middle east kuna Iran lazma alianzishe na Israel au Saudi Arabia!
 
Yes it's a footbridge au unajifanya huoni the road below. It's even mentioned in the GTC towers construction description. Tunajua nyinyi ni washamba hamjazoea hizi vitu.
Footbridge Kenya ziko over 100 hata skybridges pia tunazo mob na hatupigi kelele za chura hapa.

View attachment 2309709
Kwahyo hii enye ulipost inavuka public road sio.?
Hio ya Arusha inavuka public road gani? Usiwe mjinga bana. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom