Malobabrian
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 254
- 298
Kwani akila mayai liko shida wapi??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ila Wakunya kwenye upande wa chakula kweli mpo nyuma, haya mayai ya kuchemsha ya nini sasa? [emoji3]
Hivi vyakula vya stendi za mabasi kabisa ndio mnaweka kwenye shughuli kama hiyo? Too much inconvenience kumfanya mlaji aanze kumenya mayai instead of enjoying meals [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2309117