Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The rest of us get the most stupid ones. I can name you 3 or 4 major EAC institutions based in TZ. This central bank thing is very serious. It cannot be compared to any other institution. These people already host the EAC headquarters, EAC parliament and EAC court of Justice. It is absolutely stupid and senile to also give them the EAC central bank. Huu ni upumbavu. Kwani wao ni mungu so that they get 4 major institutions wakati sisi hatuna hata moja? Huoni kuna shida hapo? Hapa lazima patachimbika.
Well put, kitaeleweka
 
Sasa Tony hebu wacha upumbavu ulitaka bank ya EAC makao makuu yawe wapi kama c Tz? Unataka yawe Rwanda? Uganda? Burundi? Mana Kenya haina nafasi hiyo, sasa ww kati ya hizo nchi zenye nafasi unataka headquarters ziwe wapi?
Patachimbika. Huo ukahaba wenu wa kutaka kuhost kila institution ya EAC na kutoa hongo tunaukomesha sasa hivi. Subiri uone.
 
Haya mauchafu a.k.a ma cheap interchange ndiyo kipindi kile mlikuwa mnayatumia kujiita eti mmeendelea
Nje ya Dar nothing! mko porini bado, hamjatoka vizuri.., tulieni na akina Malawi wenzenu bana, ukweli mchungu ila zoea😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
That's why you attract "ombaomba only", while Tanzania is the biggest source of your remittances in Africa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We attract big investments, unlike you. Those Kenyans sending money home from Tanzania are well-educated professionals helping oil the wheels of your economy, not some poor beggars like your case in Kenya. Get the difference bruh!
 
Yeah Tz ndio Europe yenu only educated kenyans can survive in Tanzania, on the other hand the poorest Tanzanians find their home in Kenya because they can't survive in Tanzania.
 
Yanga SC
Tshs 12.3B for 3 years (SportPesa)
20220801_143615.jpg

Simba SC
Tshs 26.1B for 5 years (M-Bet)
20220801_143811.png
 
Yeah Tz ndio Europe yenu only educated kenyans can survive in Tanzania, on the other hand the poorest Tanzanians find their home in Kenya because they can't survive in Tanzania.
With 28 million extremely poor souls surviving in Tanzania you call it Europe? You must be going nuts. Anywhere, learn to be appreciative when a brother comes to your aid by giving you the creme de la creme of her workforce to help your country grow. That's what civilized societies do, not thest-thumping
 
It's like those creme Kenyans who go to Europe or US doesn't mean there's insufficiency of experts in Europe or America.
 
Ubaya wa rais Uhuru ni kufungua meno na kucheka cheka na kila mtu kila wakati. Mimi ningekuwa president ningekataa kuattend meetings za EAC presidents, ningeambia Kenyan EALA MPs warudi Kenya. No need to lick lazies azz.
 
Tatizo lako uko short tempered, huwezi kukataa Tz ku host mali zote za EAC as long as ndiyo source ya chakula na amani kwa Afrika mashariki.
 
Back
Top Bottom