Haya pumzika dogo, usife bure kwa pressure, live to debate another day, jipe shughli hasira ipungue ✌️👐Ajabu kweli, mpumbavu kama wewe ndio uniumize mimi kichwa 🤣🤣🤣
Mwenzako hataki kusikia hilo, anyway u are right, though I doubt kama itafikia hizo jiji mbili, it's like Americans saying Washington DC itasogelea Chicago or California kwa mfano, Mwanza n Arusha are not static, zinakua pia and already ziko na strong base, and if EAC dream will be realized Arusha ndio capital city ya EAC, yaani itakua Washington DC yetu hapa East Africa, so I doubt Dodoma will beat either.Dodoma bado ni changa kwa arusha ama mwanza ,huko badae inaweza sogelea kulingana na kazi zinazofanyika kwa sasa.
Thika na Dodoma zinaivana na kuna battle tayari mnaweza ipitia
Ajenda chafu
#joke#DODOMA kuna huduma za Afya eleweka kwa Tunavyoongea hivi sasa Dodoma iko na three bigger hospital, moja BW MKAPA HOSPITAL ambayo bila shika ni kati ya hospitali kubwa zaidi tatu Tanzania, Facilities kama masoko makubwa (hata ndani ya Nairobi huwezi pata soko lenye hadhi kuzidi Dodoma) stendi kubwa ya mabasi Tz na stendi ya malori, kilimo ufugaji n.k, Tatu Town kwa Dom is a jock ni kama ka mradi kamoja among hundred projects with in the city of Dodoma .. DOM competition yake kwa hapa bongo ni DAR tu lakini itakua ni Mji uliopangwa vyema,
please show up some respects DODOMA isn't of your level, hakuna kamji chochote hapo kwenu kanaweza kuwa competitive kwa DODOMA nje ya NAIROBI
Investment inayofanyika DODOMA hauwahi fanyika popote Tanzania, usilazimishe vitu bro, Mwanza naijua, ARUSHA naijua nimewahi ishi kwenye miji yote hii miwili.. Miradi ya DODOMA ikikamilika DODOMA competition yake kwa hapa Tz ni DAR tu, huu ni ukweli ambao kila mtanzania anaujuaMwenzako hataki kusikia hilo, anyway u are right, though I doubt kama itafikia hizo jiji mbili, it's like Americans saying Washington DC itasogelea Chicago or California kwa mfano, Mwanza n Arusha are not static, zinakua pia and already ziko na strong base, and if EAC dream will be realized Arusha ndio capital city ya EAC, yaani itakua Washington DC yetu hapa East Africa, so I doubt Dodoma will beat either.
Hivi balozi wa Tanzania Uturuki hufanya nn?President Uhuru Kenyatta has officially opened the 1000-acre Naivasha Special Economic Zone (SEZ) and laid the foundation stone for the construction of the Turkish Industrial Holding Complex in the zone.
The expansive Complex, to be called Turkish Industry Zone (TIZ), will cover a 400-acre area and consist of 6 factories involved in production of construction, forestry, furniture and cleaning products.
The USD 760 million investment will start production in 2024 and is estimated to inject 530 million US dollars into the Kenyan economy and create 2,860 direct jobs.
View attachment 2304748
View attachment 2304749
View attachment 2304750
Miradi sio uchumi wa mojakwa moja usisahau ilo....UnaWeza jenga ring roads Dodoma kwa billions kadhaa wakati wa mradi kweli pesa itaonekana ila mradi ukiisha mambo yanarudi kama zamani,Investment inayofanyika DODOMA hauwahi fanyika popote Tanzania, usilazimishe vitu bro, Mwanza naijua, ARUSHA naijua nimewahi ishi kwenye miji yote hii miwili.. Miradi ya DODOMA ikikamilika DODOMA competition yake kwa hapa Tz ni DAR tu, huu ni ukweli ambao kila mtanzania anaujua
Dodoma haitawahi compete na dar FYI dodoma yote haitawahi kuzidi kinondoni District Dar ni kubwa sana ,Wachana na dar kabisaInvestment inayofanyika DODOMA hauwahi fanyika popote Tanzania, usilazimishe vitu bro, Mwanza naijua, ARUSHA naijua nimewahi ishi kwenye miji yote hii miwili.. Miradi ya DODOMA ikikamilika DODOMA competition yake kwa hapa Tz ni DAR tu, huu ni ukweli ambao kila mtanzania anaujua
Tatizo lenu hata dodoma sasa hvi inawanyima usingizi 😂😂😂😂Ukweli inawauma sana.., Dodoma haina economic value, ROI(return on investment) ni almost zero, zoea ukweli ba mzee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
President Uhuru Kenyatta has officially opened the 1000-acre Naivasha Special Economic Zone (SEZ) and laid the foundation stone for the construction of the Turkish Industrial Holding Complex in the zone.
The expansive Complex, to be called Turkish Industry Zone (TIZ), will cover a 400-acre area and consist of 6 factories involved in production of construction, forestry, furniture and cleaning products.
The USD 760 million investment will start production in 2024 and is estimated to inject 530 million US dollars into the Kenyan economy and create 2,860 direct jobs.
View attachment 2304748
View attachment 2304749
View attachment 2304750
Tuko hapa tutashuhudia, kwa sasa ni hypothesis tu..,Investment inayofanyika DODOMA hauwahi fanyika popote Tanzania, usilazimishe vitu bro, Mwanza naijua, ARUSHA naijua nimewahi ishi kwenye miji yote hii miwili.. Miradi ya DODOMA ikikamilika DODOMA competition yake kwa hapa Tz ni DAR tu, huu ni ukweli ambao kila mtanzania anaujua
Uzuri ni kwamba miradi mingi ya DODOMA inakamilika 2023, wala sio mbali ni Kesho kutwa tu hapo, mtahama humu. Mji wa serikali mwakani tu hapo utakua ushapata taswiraTuko hapa tutashuhudia, kwa sasa ni hypothesis tu..,
Hii SEZ ya Naivasha itavutia makampuni nyingi sana kwasababu ya cheap power from geothermal ndo maana tulipeleka sgr huko na kuunda ICDHivi balozi wa Tanzania Uturuki hufanya nn?
Nachokwambia nakujua wala siropoki bro, tofauti kubwa ya Dar na Dom utakuja iwe ni skyscrapers tuDodoma haitawahi compete na dar FYI dodoma yote haitawahi kuzidi kinondoni District Dar ni kubwa sana ,Wachana na dar kabisa
Duh.Bando ni lako sawa sikupangii cha kupost Ila watu huwa hawatumii mkundu kufkiria mzee 🤣🤣🤣
Bro wachina Wana usemi wao usemao "if you do want development build roads first" ni infrastructure development pekee ndio inayopelekea kuvutia investment kwa wingi, huwezi vutia wawakezaji pasi na kua na miundombinu rafiki bro, kwa uwekezaji uliofanyika Dom na muendelezo wake Tegemea kuiona Dom na maendeleo makubwa sana, hivyo ndivyo miji mikubwa china inavyofanyaMiradi sio uchumi wa mojakwa moja usisahau ilo....UnaWeza jenga ring roads Dodoma kwa billions kadhaa wakati wa mradi kweli pesa itaonekana ila mradi ukiisha mambo yanarudi kama zamani,
ARUSHA kuna potential nyingi za kibiashara tena zinazozalisha $$kibao..Real estate, hotels,maduka ya biashara ni likely kuwekezwa kwa wingi ARUSHA kuliko dodoma sababu uchumi wake ni strong tayari,
Advantage itakayopatikana dodoma ni mji utakua na infrastructure za kisasa,well planned na pop ya wastani. Ni rahisi entrepreneur kupelekea pesa kujenga hotel ARUSHA kuliko dodoma for no of reasons,
Kwasababu hiyo serikali italazimika kuendeleza Arusha Kwasababu wanaokota kodi kubwa, dodoma haitawahi zidi ARUSHA
Huu ujinga aliwalisha nani? Dodoma imegawanyika eneo la utawala na viwanda kama kule Nala.Dodoma has no economic value compared to Tatu. Tatu is an industrial city, Dodoma is an administrative city.