dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
yani even before nione ninini ama ni wapi, i already knew this to be kenyaland. vitu za kikenya zo uonekana na mapema maze. yani zina kaa more sophisticated, hightech and classy, other only countries u ll see this kind of sophistications in africa are SA, egypt and mauritius.This is a joke to Tatu. Here are some industries in Tatu.
ALP
View attachment 2304879View attachment 2304881View attachment 2304884View attachment 2304885
alafu waTz wanadhan watatupita ama wametupita tayari.. lakini hio itabakia kua ni ndoto ama ruwaza 2091.. na hakuna siku hivi karibuni.. huku wakizidi kutuombea mabaya, lakini ndo tunazidi kupokea wawekezaji na makampuni tajika duniani kote..
wah!🙀 hebu ona tu vitu kaa hizi hapa. yani scenes za makampuni kubwa hapo nyumae tulikua tumezoea kuviona tu south africa