Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There so many diseases which don't even need Microbiologist, High blood pressure, Cancer, Cardiovascular diseases, therefore microbiology is very small brach in medical field.

You all support doctors, without them you can't do anything in medical field, they give you orders on what to do.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
If you could have known that microorganisms contribute to the regulation of blood pressure then you could have not typed something like this. Blood pressure is as a result of vasodilation and vasoconstriction and high blood pressure is because of vasoconstriction, Microorganisms are among the causes of vasoconstriction. For Cancer, did you know that 15% of all cancer cases in the world is caused by microorganisms? Again doctors doesn't give microbiologists order but it's microbiologists that tells the doctors DOS & DON'TS.
 
Daah!!! Wakati nasoma hii,mpaka machozi yalinitoka[emoji24][emoji24] kwanini majirani zetu mnatuangusha kiasi hiki??? Hii ina maana mpo kama wale mabraza men au masister duu wa mjini ambao wanafaa nguo,magari au majumba kumbe ni kuyaazima......Mnapaswa muache mambo ya kitumwa ipo siku mtakuwa hamna chenu ndani ya nchi yenu wenyewe....Acheni kuwatajirisha wanasiasa
You must be very dumb kuamini hii ripoti. infact hata deni tunazodaiwa na nchi na mashirika za nje hazifiki hata $35b. Kenya tunadaiwa na china $6.92b
Hii ndo shida ya kuokota kila taka taka mtandaoni na kupost bila kufanya research
 
Daah!!! Wakati nasoma hii,mpaka machozi yalinitoka[emoji24][emoji24] kwanini majirani zetu mnatuangusha kiasi hiki??? Hii ina maana mpo kama wale mabraza men au masister duu wa mjini ambao wanafaa nguo,magari au majumba kumbe ni kuyaazima......Mnapaswa muache mambo ya kitumwa ipo siku mtakuwa hamna chenu ndani ya nchi yenu wenyewe....Acheni kuwatajirisha wanasiasa
Hela yote iyo mmepave 20k za barabara surely?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kama saa hii ndio mnaanza ujenzi wa coating plant basi pipeline itaanza kusafirisha mafuta mwaka wa 2030.
Uzuri pesa tumeshaanza kuzila hivyo hata iwe 2040 bado tutaendelea kula pesa as construction continues and it's clear that 5$ billion is intensively and vigorously spent during construction
 
DSM
IMG_20220726_094151_183.jpg
IMG_20220726_094139_675.jpg
BRT ikipita hapa me naona kama itaharibu uzuri wa hii barabara buana
 
Na hakuna lugha waliyoisahau. Pia hata huku watu wanaongea lugha za makabila yao lkn kiswahili hawajawahi kusahau.
Nimekusoma. Ila wao hizo lugha ni official. Ukienda Pretoria, huko wanaongea Sotho kwa sana, Johannesburg ni Zulu kwa sana, Kimberly ni Afrikaans kwa sana.

All in all, ni official. Ni lugha utagongana nazo kwenye document/forms za serikali na pia kwenye hela zao.
 
Ur not getting my point broo wew ili suala unaliangalia kwa mda mfupi what about baada ya miaka 200 lugha itakuwaje kama haitumiki mashuleni ,acha nikuulize swali jepesi tuu, wengi umu tunawatoto je watoto wetu wanaweza kuzungumza lugha za makabila yao hususan sisi tunaoishi mijin ?
Kwani Kiswahili kitaacha kufundishwa shuleni? Kwani nchi ambazo zinaongea lugha zaidi ya moja zimewezaje? Imagine nchi kama SA ina lugha lukuki na bado wanaletewa kiswahili unadhani watamudu vipi? Kwa namna kiswahili kinavyozungumzwa huwezi kukiua eti kwa kufundisha lugha nyingine, utakikuta mitaani, redioni, magazetini, kwenye mitandao, sasa kitakufaje? Otherwise kingekuwa kimeishakufa basi sababu English imetumika miaka mingi kama lugha ya kufundishia, tena imeanza kufundishwa kipindi kiswahili ni kichanga kabisa watu walikuwa bado wanazungumza lugha zao za makabila.
 
SA wana lugha 11 za taifa, average South Afrikan anaongea kwa ufasaha lugha 3 hadi 4, Watanzania wasipokuwa makini watabakiza lugha moja tu sababu lugha za makabila ndio zinakufa hivyo, ni LAZIMA tujifunze lugha nyingi zaidi.

Hizo lugha za Makabila zife, na zife haraka sana. Tuaitaji lugha moja: KISWAHILI, then lugha ya Kingereza kwa biashara, FULL STOP.

Hizo lugha zingine sijui: Kizaramo, Kidengereko, Kikwere, Kisukuma, kihaya; Kichaga kimegawanyika kuna: Kirombo, Kimachame, Kikibosho and so forth.

Za nini hizo??
 
Kiutamaduni sio jambo jema sana, lakini ukweli ni kwamba hatuwezi kuzuia haya, hata hao wenzetu usidhani hawakuwa na makabila, nao walikuwa nayo ila lugha dominant ikatawala na makabila yakafa natural death. Afrika bado ina utajiri wa lugha, nadhani inaongoza kulinganisha na mabara mengine, ila muingiliano utaua lugha nyingi sana, lakini nakiona Kiswahili kikishine na kuwa lugha ya Afrika. Miaka ya mbele huwenda tutakuwa na lugha tano tu duniani, English, Kichina, Kihindi, Kiswahili labda na Spanish au French. So dunia ni vyema ikajifunza vizuri lugha hizi kubwa.
 
🙄 Umesema ni utajiri🙄🙄

Fanya tafiti uone what most tribalist societies have in common.
 
Sasa kama tupo million 53 users na population ya kunyaland ni million 59 general wapi wengi kwenye utumizi wa simu?

Those statistics are either inaccurate or something is seriously wrong with actual number of Kenyan population.

If mobile users are 53 million in Tanzania and that is numerically inferior to Kenya, then, what is the actual number of Kenyan population?
 
Back
Top Bottom