The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hii ishaoneshwa humu ni km 5 kama sikosei, onesha road nyingine. Mm wala sina haja ya kuongelea Dom vs Tatu village ni utoto.
Hii ishaoneshwa humu ni km 5 kama sikosei, onesha road nyingine. Mm wala sina haja ya kuongelea Dom vs Tatu village ni utoto.
Mordena alone worth more than entire Dodoma.Onesha lami za Tatu village nikuoneshe lami za Dom, Wakenya msitafute pa kujificha baada ya kuona tumetumia pesa nyingi kujenga jiji la kisasa East and Central Africa, huwezi kulinganisha Dom city na Tatu village kisa kuna viwanda viwili huko Tatu village na msione tumekaa kimya ni kwasababu mm binafsi siwezi engage kwenye upuuzi wa kulinganisha jiji na village, kamwe siwezi. Wekeni thamani ya investment ya Tatu village niweke thamani ya investment ya Dom City msilete upuuzi. Alafu mlivyo wajinga eti mnaungana kabisa kuweka battle ya kipumbavu kama hiyo wakati ukweli mnaujua, wacheni ujinga.
Onyesha Barbara za Dodoma I want to show you something.Hii ishaoneshwa humu ni km 5 kama sikosei, onesha road nyingine. Mm wala sina haja ya kuongelea Dom vs Tatu village ni utoto.
Thamani ya electrifitried SGR pekee iliyopita Dom City inatosha kushinda vimiradi vyote vilivyokuwepo Tatu village.Tatu city is the only city in East Africa where you won't find,
1. Overhead electric cables
2. Open sewerage
Nmekwambia sina muda na battle za kitoto, wacheni ubabaishaji kama mnaamua kujenga kitu jengeni sio mnajenga kijiji miaka ishirini na bado hamjafikia hata 1% ya actual investment.Onyesha Barbara za Dodoma I want to show you something.
Nna mashaka kama hiyo road imefika km 5[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Onyesha Barbara za Dodoma I want to show you something.
Kama huna muda then why are responding to our comments? I'm going to repeat it one more time. Tatu is better than Dodoma in all aspects except land size.Nmekwambia sina muda na battle za kitoto, wacheni ubabaishaji kama mnaamua kujenga kitu jengeni sio mnajenga kijiji miaka ishirini na bado hamjafikia hata 1% ya actual investment.
Ok twende kazi mana naona unaleta mazoea, onesha roads za Tatu village, Dodoma hizi hapa naanza, weka niweke.Onyesha Barbara za Dodoma I want to show you something.
Uhuru amefanya kazi. Amezindua Naivasha SEZ. Soon Mombasa SEZ pia itazinduliwa. Not to mention Tatu city na Konza city ambazo pia zimepewa SEZ status.President Uhuru Kenyatta has officially opened the 1000-acre Naivasha Special Economic Zone (SEZ) and laid the foundation stone for the construction of the Turkish Industrial Holding Complex in the zone.
The expansive Complex, to be called Turkish Industry Zone (TIZ), will cover a 400-acre area and consist of 6 factories involved in production of construction, forestry, furniture and cleaning products.
The USD 760 million investment will start production in 2024 and is estimated to inject 530 million US dollars into the Kenyan economy and create 2,860 direct jobs.
View attachment 2304748
View attachment 2304749
View attachment 2304750
Nataka battle ya Dom City vs Tatu village nmeanza na roads, onesheni roads za Tatu village.Uhuru amefanya kazi. Amezindua Naivasha SEZ. Soon Mombasa SEZ pia itazinduliwa. Not to mention Tatu city na Konza city ambazo pia zimepewa SEZ status.
Cc Geza Ulole
joto la jiwe
Leave that guy alone. Ukiona mtu ameanza matusi just leave him alone. It is impossible to debate with such a person.Ona 👆 👆 unavyo teseka, leo nimekunyonga na sitachoka utalia hadi machozi ya vumbi😂😂😂😂😂😂😂😂
Dodoma ina reli ya umeme, onesha reli ya umeme Tatu village [emoji116][emoji116]Leave that guy alone. Ukiona mtu ameanza matusi just leave him alone. It is impossible to debate with such a person.
Hata ww sasa umekua boga kiasi hichi kufananisha white elephant project na capital city 😂😂😂 hvi nyinyi mko timamu kweliHii battle itaendelea hata kesho na kesho kutwa. Wewe post picha tu. Mimi nataka kulala. Teargas amepost picha za Tatu city sasa hivi. Tutaendelea kesho.